Marioo feat Harmonize - Away (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Marioo featuring Harmonize performing "Away" (C) 2024 exclusively licensed Under by Bad nation, The music Video was shot in Dar es Salaam, Tanzania, Director by Joma & Audio produced by S2kizzy.

Listen to Marioo on Digital Streaming:

Connect Marioo on Social Media:

+For More Information Booking Marioo:

©2024 Bad Nation.All rights reserved.

#Marioo #Harmonize #Away
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

KAMA UNAMKUBALI HARMONIZE NA MARIOO GONGA LIKE 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

MichaelMwakibolwa
Автор

Kama una mkubali harmonize na marioo gonga like hapo 🎉🎉vvery nice love this song 🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

FidelCastro-efcp
Автор

Wakenya 🇰🇪 wenzangu mpo ? Wasanii wetu wamekataa kututolea mzilki mature mziki tamu kama huu inabidi tume stream Tanzania music because their artists are serious artists.

AlexMayore
Автор

Sijui mbona huyu hujiita konde na vile mistari zake zimenona..From Kenya we taking it to 20 million views plus😍🥰😘

DarlinGtone_Aziz
Автор

Kama unamini kwamba Harmonize na Marioo wanakua na collabo nzuri kuliko bas naomb ulike

xxdhbpb
Автор

Wanaoamin marioo akikutanaga na mmakonde, marioo huwa anafunikwa, , gonga like asee

eliasbihemo
Автор

Harmonize was bigger than the song itself ❤

raviancitygeng
Автор

Nakupenda sana kijana marioo nyimbo zako zote nazisikia nipo rwanda 🇬🇦🇬🇦

nnwlbui
Автор

Harmonize unajua sana we jamaa, Yan unaimba sauti yote inatoka ase..

emmanuelnyakatai
Автор

Kondegang fc.
We are here for kondeboy once again
Lyrics 🐘 💯 🔥
Verse 🔥 🔥
Melodies 🔥 🔥

mkabilidorah
Автор

Harmonize anajuwa kweli, mario awezi kuwa sawa harmonize ata pakuwe Nini.

xyuhygt
Автор

Jamani bado like hazitoshii please tujitaidi awe top 1😢😢😢😢

aileenlema
Автор

Moja ya nyimbo hatari kotoka kwa makonde najua hii ya Poshy queen❤❤ Asante kwa kijana wetu mariooo kumshirikisha Jeshi wa majeshi wote nchini Tanzania 📶⏭🎧🎧🎧🎧

RamashaboyBakhresa-hdul
Автор

Wale wakutoka🇰🇪🇰🇪mnipe like hapa tujuane😊😊

ojjvsfy
Автор

Kama bado unasikiliza hii nyimbo mda huu naomba like hata 5

Juniorclasic
Автор

Once again, I will never force my children to follow the same artist I like. They will have the total freedom to choose between following Marioo or leaving my house. Pure talent

djkingdee
Автор

Its 2 months now, no day has ever passed ka sijaskiza hii ngoma, , ngoma tamu ni tamu tu walae❤❤❤

thika_finesse
Автор

mario wanamfunika sana ukiamini hii ngoma gonga like plz

kgqtpbm
Автор

Hizi sio zile nyimbo zao wanaimba wasafi.... To different . Big tune❤

davidtsuma
Автор

Leo nimejalibu kufika mapema ndugu zangu wa tanzania like zangu munipe 🙏🙏🙏🙏

ziuymkc