Harmonize - Ushamba (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
This Song Based on People Who Likes To Brag Too much In Everything They Do Or They Get...!! Harmonize Came Up Went hard on This Song To All People Who Brags Too much That Its Not A Funny to Brag In Things Are Not Even Sensetive.!!

Harmonize - Ushamba

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762

Lyrics

Kondeboy
Weeeeeeeee

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni wee huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Verse
pesa ya kulipa gesti unayo eeeh nyumbani familia inapiga miyayo eeeh
mmh yanafurahisha ufanyayo eeeh huo ni ushamba
inaboa kudadadeki dereva wa uber hataki kuova teki eti kisa pesa haiongezeki eeeh huo ni ushamba yupo kitandani kajilegeza eeh mi nimeshapaka vya kuteleza eeh eti bebi leo simba wanacheza eeeh huo ni ushamba husband material kutwa unalike picha za makalio vya wenzako usijipe matamanio eeh huo ni ushamba Ashura wa mbagala huna pakula pakulala komenti ndefu picha za kajala huo tunaita eeeh huo ni ushamba

Chorus
Huo ni ushambaa huoni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Verse
mmmh malejendi si wamerudisha vita wanahofia eti jeshi anawapita bila sababu wananikunjia ndita
eeh huo ni ushamba limechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba zeee likila demu lazima litangaze huo tunaita eeeh huo ni ushamba hivi dunia ndo ipo kikomo eeh maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta eeh wana page za kujipigia domo eeeh huo ni ushamba amepanga chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmh vipi akikupiga kibuti eeeh huo ni ushamba aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara eeeh huo ni ushamba

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Verse
kaja na vumbi uso umefubaa anadai kapaka poda eeh kaniomba nauli ya uber
eeeh huo ni ushamba yule namuona kapanda boda vitu vingine haviji na ubongo eeh punguzeni sifa wana sio mchongo eeh demu humjui unampakia mkongoo eeeh huoni ushambaa yeye ndo kalewa kuliko wote anaimba nakucheza ngoma zote wakati wakulipa bili sina chochote eeh huo ni ushambaa
meno yote nje anachekelea ahsante bebi nimepokea hasa mbona haujatuma na yakutoleaa eeeh huo ni ushambaa kumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiri yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah eeeh huoni ushambaa
tunaishi kwa nyumba ya kupanga mwenzetu unatuletea muganga unataka wote tuonekane wangaa huo tunaita eeeh huo ni ushambaa

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa.

hehehehee hasa kama kama tumekutana mchana unasema haujala
heheheee asubuhi si ungeniomba mswaki wewee hehehe hahaha hahahahah

Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huoni
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa

they call me kondeboy no 1 jeshiiiiiii

#Harmonize #Ushamba #Kondegang
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wangapi 2meangalia Huu wimbo 2024 tujuane plz 👇👇

IzackJackson
Автор

Kama wewe sio Mshamba gonga like twende sawa

Soccer_Life
Автор

Katajiri kalagaze halina meno ilo simba zee likila dem lazma litangaze..😂😂😂🔥

Hommie
Автор

Simba zee likitoka na dem ni ushamba🔥🔥🔥🔥Like toka 254

andrekibe
Автор

I'm blessed to be African where are my other African sisters and brothers ❤❤

stylerw
Автор

The "Eti leo baby simba wanacheza" line gets me every time 😂😂

marvinmwangi
Автор

Nobody bigger in Tanzania than harmonize, its performance and quality of confidentiality proves to us That he is strictly gifted

peterpanazer
Автор

Heestaan caadi ma aha inta kiswahiliga fahmeyso like iisaara
(Tanzanian singers are so talented
Jamani mi npo somalia gonga like kama ni ukweli

allyhaji
Автор

1:19 🤣🤣🤣💙🌟🌟🔥 from Kenya nmesema iii ni fire🔥🌟..Simba🤣🤣💙⚡
Likila demu lzm litangaze

petermuya
Автор

No 1hit song of the year 🔥🔥🔥🔥🙌👍💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

barobinbaro
Автор

💓💓💓💓💓😂😂😂 uchamba makali eeeeéeh ni uchamba

melissashekis
Автор

TRENDING NUMBER 2 IN KENYA KONDE BOOOY

paositv
Автор

KONDE BOY for every body keep going jeshi number

djtomtv
Автор

Very interesting nice our bloodline wasafi tunatoaga mbegu bora

johnsonvictor
Автор

Wah this morning nimeweza kupata message ya hii

JOHN-RAY
Автор

Ushamba ipo namba 1 hebu tufanyen isiondoke muda wawik hiv 💃🏽💃🏽ushamba noma kwakwel 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽

omklthomomklthom
Автор

Happy two million to us KONDE GANG FAMILY ❤❤🥂🥂🥂🍾

fatimadiawara
Автор

Eti baby leo SIMBA Wanacheza na platnumz😆😆2021 here we go

dutchsafari
Автор

One love from south🇸🇸 jeshi to the world(kondegang)

laczbolo
Автор

Eti likila dem lazima litangaze🤣🤣🤣moto hii, tokea +254

mluhyawamombasa