DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY - ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)

preview_player
Показать описание
Send 'Skiza 8540075' to 811 (Safaricom). The Song features all WCB WASAFI Artists including Diamond Platnumz , Rayvanny , Harmonize , Mbosso ,Lavalava , Queen Darleen and Rich Mavoko.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nipo hapa 2024. Jamani mbona nyie mnapata likes, mi sipati. Angali wote tunampenda muziki mizuri "zama za zamani" 🎶🎵🎵🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

HamisiChipotele-flxo
Автор

Reject Finance Bill 2024. Any Kenyans here.

mwasalabathegreat
Автор

Wah aki hii wimbo is always great. Kama uko huku April 2024 piga like. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

josephndirangu
Автор

This song will never lose taste❤ any Kenyan in the building 2024❤❤❤

maboiller
Автор

I'm here once again 2023✔️, A lot has happened and changing but honestly I really miss the vibes of old wasafi, ooh maa men konde boy😭, mavoko😭, vanny boe 😭, quuen 😭 .. the era is coming to an end ❗, , thank you platinumz for the gifts of vanny boe and konde boy always make people enjoying, , really the street will never forget your beautiful heart for the music industry of Tanzania and Africa thank you again again and again, for those who watching this bung in 2050 this guys was phenomenal genius on their Prime's🔥🔥🙌 and now is our legends 🔥💪

kl
Автор

Weka like kama na ww uliikubali na unaendendelea kuitazama hii chemistry

noelkasele
Автор

mimi kwanza nitacomment ata kabla sijaiwatch kwasababu nina uhakika wcb are the best... #zilipendwa...let me watch now in a repeat mode.

janetkaranja
Автор

yan hii imewashika watu pabaya yan Hadi wanasiasa walijipanga kuiuwa Lakin wap kilicho pangwa na Mungu binadam hata mfanyaje mtafeli to WCB is my team congrats to you broo Diamond

kizitokasulamo
Автор

mimi sio shabiki wa izi nyimbo ila nlipenda sana wasani wetu kukaa pamoja na kufanya kazi pamoja huuu wimbo naupenda

ellynassari
Автор

My favorite song Until now 2023🔥
I wish mngerudi tena na kuungana kama ivi mfanye makuu zaidi 🔥🔥🔥

DoctorEvarist
Автор

I miss the Diamond Platnumz & Harmonize duo
That was a strong duo😪

Yummycuisine_
Автор

Nkikuita Plutnumz nahs kma nkushusha thamani acha nkuit nothing like u brther....

yakubsaid
Автор

Golden East African boys Nani bado anasikiza hii ngoma 🇰🇪kenyans# anguka nayo#

marykamau
Автор

diamond kk una maaadui wengi had wanasiasa hvyo kuwa makin bhna wivu n wengi sana we n mti wenye matunda hvy kila mtyu hukuchukia ww hata yesu alisalitiwa na walewale marafiki hvy kuwa makin

enockgeraldgerald
Автор

Nani Anakubali kama iyi Wimbo itafikisha 10M in one week ❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯 WCB for life

crjfamily
Автор

Aisee mimi ni mjapani na huku kwetyu neti haishiki ila hawa jamaa ni creative Ile mbaya. .Lazima nijifunze kiswahili Saivi ....pamoja sana WCB.

assshakersshow
Автор

Walio rudia kupga huu wimbo 2024 mwez wa 8 tujuane😄😄

reallygody
Автор

Yaaan naipenda WCB kuliko hata ninavyompenda bwana angu aisee mmeuwa WCB 4 life kipusaaaa ni zilipendwaa

priyankanoves
Автор

Mondi, Vani na Richi, Zilipendwa imeweza Nairobi vbaya wasee. Twaikubali shughli yenu alumu manguli. Waache wawaige tuu.

simonngaira
Автор

Nna imani mungu atazidi kuwapa ubunifu zaidi Ili sisi mashabiki tuzidi kuongeza nguvu ya kunyanyua Chama letu WCB kwa mikono miwili Bila kinyongo hii iko moto

kubumaizer