UTASHANGAA!!! MAANA YA LOGO HII YA YAS

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hilo jina kiukweli kiupande wangu halijakaa poa kabisa, sjui ww mtumiaji mwezangu!

kijeshiabdalla
Автор

Maana ya YAS
1.YAS ni brand ya kampuni fulan ambayo inajihusisha na utengenezaji wa mavazi.
2. YAS ni slang(misimu) au tunasema ni neno lisilo rasmin ambalo linatumiwa na watu wa mapenz ya jinsia moja LGBTQ community
3. YAS ni jina la kampuni ya mtandao wa simu ambao mwanzoni ulijulikana kama TIGO na sasa ni YAS.

aproxaprox
Автор

Mimi hii laini nshaifuta usajili na kutupa laini, , , siku wakirudi na jina tigo, , nitarudi😮

arique
Автор

Triangle, yes, alright, smooth, so 😢 yote haya yana msamiati kwa Kiswahili

kabhikachambala
Автор

Nimefanya muamala wa laki haujafika nilipotuma.. na hakuna msaada wowote niliopata.

nexiebeatz
Автор

niwasaidie chakupgia gitaa kinaitwa petram

JoshuaMartin-to
Автор

Munayapindisha lakini tumeyaelewa malengo yao

SabihaibrahimRajabu
Автор

Millard mbona hicho kidude chako mezani bado kina logo ya Tigo 5G na sio yas 5G?

JustinOsnely
Автор

Kampuni ya tigo ilitakuwa itupe ufafanuz ili tusiwe na wasiwas

ElinahStephano
Автор

Miladi ayo brand Yas tz Duniani wanaitwa Axian telecom watafute Google

SijaOlomi-ee
Автор

Wanakimbia kesi ya anti pasi lisu ndo maanA wameachana na tigo

Bilioneabichwa
Автор

Hawa bna bara tigo na nyashi itakua ya wahuni hawa....

barakambisecr
Автор

Watangazaji mnakuaga wanafki hata mngeambiwa iitwe mav mngekubali tuu badala mtuambie kwa nn ibadilishwe jina mnatuambia visitu havina mantiki

ZaituniYasini-eg
Автор

Tigo wamekimbia kesi ya Lissu ndomana wamebadili jina ila namini wamiliki ni walewale

barakamutabazi
Автор

Yas ni ushoga na usagaji nimekoment zaidi ya mwezi mmoja kwamba watanzania wasidanganywe kutumia Mtandao wenye jina linalo ashiria mapenzi ya jinsia moja waingie google kila mmoja aulize maana ya hilo neno mtapata kujua ukweli sio kila kitu cha kushabikia tu awo wanao shabikia ni mashoga akuna jina au logo isiyokua na maana huo Mtandao unasaport ushaga sio salama kwa taifa letu, eti Yas sasa ni muda wetu! Can you imagine au iyo Mixx by Yas iliyo pasa itwe Tigo pesa aingii akirini ukienda dukani una uliza kuna mix by Yas unapata picha gani Yani kma mie ndo muuza duka natoka napanga ukiniuriza huo ujinga wa mix by Yas

Skomi-nedayyes
Автор

Hata Tigo ilikua na maana nzuri ila vijana wa hovyo wakalibadilisha maana, hata leo unaweza buni mradi ukauita "KuKu" still watu wanaweza tohoa maana ukashangaa..jaribu kufuatilia Yas kwenye portal yao, tafuta core value zao ni zipi, mission na vision kisha utaachana na hizo slang definition za mitandao...

willegamba
Автор

Ngoja nikusaidie kidude cha kupigia gitaa kinaitwa petrum

joshuakiteme
Автор

Wadada wenye mwanya mbinguni n moja kwa moja hakuna Nauli

msafirisaimoni
Автор

Wakhanithi huwa wanatamka YES kama YAS... ni neno kilichopewa umarufu na Makhanithi

mohammedkhimji
Автор

Hiyo triangle ni icon ya Play button, maana yake ni uhai wa huduma wakati wote..unlike stop or pause button ...

willegamba