Hii ndio SIRI NZITO ya namba 666 iliyofichwa na BIBLIA,na huyu ndie MNYAMA alietajwa?

preview_player
Показать описание
Maana halisi ya namba 666,imekua ikijadiliwa katika midahalo mingi,sasa ni muda wa kuifunua siri hii.

The true meaning of number 666,has been debated here and there for years,now its time to debunk the theory.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Karibu sana Justin shed tulikumiss sana naic tutaanza ku enjoy kama zamani

prettyneema
Автор

Mimi naitwa justin shedy sasa twende kazi❤😂

thadeombani
Автор

Nimekupata. Mpinga Kristo yupo hata sasa, ila bado hawawazi tu ni kwa neema ya Mungu.

Ijuekweliikuwekehuru
Автор

mungu akubariki sana kaka hayo ss tushafundishwa kanisan sabato

leahmodo
Автор

Apo nimeelewa kabisa umewazidi ata wachungaji

djjoetznomasanahatarikabis
Автор

Someni UFUNUO WA YOHANA 12_4_5 mpk UFUNUO WA YOHANA 13_10 hapo ndipo mutaelewa huyo mnyama alitokna na nini? Kwa mujibu wa biblia shetani atatoweka ndioo atatokea huyo 666

shikomefaustine
Автор

Kwa kweli hapo bro umeenda nje ya somo. Majibu waulize Wana zuoni wa Maandiko wana majibu. Hapo unabahatisha bahatisha tu.

g-luwetv
Автор

Afu next time muangalie photo za cover zenye maana na sio kuweka cover ilimradi.

victorvancharlz
Автор

Asante sana bro ubarikiwe sana kwa kazi yako

Wafulamark
Автор

I'm so happy for everything you enlight me

deeluckycharm
Автор

Mimi nimeelewa na nimesikia mamb haya maranyng xn endelea kutuelimisha bongo fasta

bkatricalstvhd
Автор

Sjamuona mwengine zaidi ya justin shedi 🔥🔥🔥🔥

Arafatmohdjusa
Автор

Nafurahi kuona Umerudi Hewani My brother Justin Shedy

princegerard
Автор

Dajjal huyo ndiyo wanasubiri, sisi waislam tunaamini maisi dajjal ni muongo

kautharsalat
Автор

Na papa🙄 sasa twende kaziii na namba 666

edwinelias
Автор

Bro vp kuhusu ile story ya George stinney Jr nili request muda ifanyie kazi mkuu

Ulayafacts
Автор

Nmesoma bible ufunuo aya 13 adi 18 hujakoseaaa alafu kaa kunamtu anabish soma uone😢😢😢😢

jeivinmtundu
Автор

Mwisho wa dunia ulisha pita acheni kutishana,

Mwl_Swalo
Автор

Ahsante kwa kurekebisha background ila bado sauti yako ipo chini sana

majidkhamis
Автор

Niungeni jamani na mim ni pate utajili

Devilinintungwawcvk
join shbcf.ru