Vital'O 0-4 Yanga | CAFCL | Yanga walivyoliandama lango la Vital'O

preview_player
Показать описание
Tazama kosakosa zilizojiri kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Vital’O dhidi ya Yanga SC, uliopigwa Agosti 17 katika dimba la Azam Complex.

Timu hizo zitarudiana Agosti 24, 2024, saa 1:00 usiku na utakuwa LIVE #AzamSports1HD

#CAFChampionsLeague #CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #CCL #YangaSC #YoungAfricans #Vitalo #VitaloYanga
Рекомендации по теме