Burudani, Yanga wakikabidhiwa milioni 39 za 'Goli la Mama' kwa kuipiga Vital'o 6-0 CAF CL

preview_player
Показать описание
#CAFCL Msigwa amwaga mayenu, rais na makamu wake Yanga wazungumza, Mudathir agusia ahadi yake kwa Dody, Ally Mayay achambua kiwango cha Yanga…..

Ni Shangwe la mkwanja wa ‘Goli la Mama’, Yanga wakikabidhiwa shilingi milioni 30 kutoka kwa Rais wa Samia…..

FT: Yanga 6-0 Vital’O (Agg: 10-0)
Комментарии
Автор

Hongereni sana yanga. Mnatufurahisha sana kwa juhudi zenu 💚💚💛💛🇹🇿🇹🇿🌻🌻

Mariejo-gx
Автор

Safi sana Raisi tupelekee Zanzibar mchezo wa pili

R_Rajab
Автор

Honestly hii plan ya kwenda Zanzibar nimeipenda

emmanuelodiembo
Автор

Zanzibar mnapaamini au nanyi mtakuwa wageni?

piussimtala
Автор

Tunapaswa kufikiria kisomi na kwa upana, kufanya hivi ni kama motisha kwa timu, Timu yetu ikifika mbali kimataifa tunatangaza taifa letu na kuwavutia wawekezaji kutoka nje, wakija nchini wanatoa ajira kwa raia na kuongeza mapato kupitia kodi wanazolipa kama corporate na Paye pia kuongeza Per - Capita income base, pia wawekezaji wengi watavutiwa kuwekeza kwenye league ya Tanzania

Extraordinary-sk
Автор

Please change the headline it should be 30ML not 39ML thanks!

headoffice
Автор

DAH MASHULENI HAKUNA WALIMU WA KUTOSHA SHEM ON YOU

bimumaulid
Автор

Kama goli 1 ni milion 5 mara kumi inakuaje 30 au ndio utapeli hadi kwa wan anchi?

RaheemaOmn
Автор

Mama Samia jiandae kuongeza pesa mzunguko wa pili. Yanga anashinda ugenini na nyumbani goli 10. Tena milioni 50. Tena. Na simba nae anashinda ugenini na nyumbani 7. Milioni 35. Jumla milioni 85. Ziandae.

saliminyusuph
Автор

Nan kaona Ali mayai tembel aliztak El awek kweny mfuk IL kabak na mfuko hel zkababwa mkononi

SunnymussaMussa
Автор

Tanzania hakuna mpira siasa tuu za C cm

RamadhanRajabu-hiop