Magoli yote | Yanga SC 6-0 Vtal'o FC | CAF CL 24/08/2024

preview_player
Показать описание
Clatous Chama amefunga goli moja na kutoa assist nne, Yanga SC ikiwanyoosha Vital'O ya Burundi kwa kichapo kizito cha magoli 6-0 katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi....

Waliofunga magoli hayo ni Pacome Zouzoua kwa penati dakika ya 14, Clement Mzize dakika ya 49, Clatous Chama dakika 51, Prince Dube dakika 71, Stephane Aziz Ki dakika ya 78 na Mudathir Yahya dakika ya 86.

Haya hapa magoli yote......
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ili ukisahau kizuri chako lazima upate kizuri zaidi ya ulicho nacho. Sisi Simba chama bado tunakukumbuka, good performance today, Goli 1 assist 4 Goli 5 umehusika Chama Baba what a player. Mungu azidi kukumurikia Taa ya mafanikio yako Brother Tunakukubali sana Sisi WanaSimba❤🎉

mansourjuma
Автор

Chama kahusika kwenye magoli matano, , , assist 4 na goal 1, , , that is magician 💚💛

LatifaKapange-csqm
Автор

Goli 6, chama goli 1 na assist 4 total 5 yani amehusika kwenye goli 5. Kweli chama ni master wa kuassist.

baruaninombo
Автор

Chama ni mtu mmoja hatari kwelikweli. Anaweza kusababisha timu ipate goli bila kutarajia. Hongera Young Africans.

MichaelMathew-jf
Автор

Chama chama chama kalibu sana jangwani

ZakayoMayunga
Автор

Wangapi tunasubiri 😂😂 interview ya mzee saidi

chollejr_
Автор

💚 yanga tamuuuu na enjoy tu hapa stress za warabu zinaisha enh

UmmyMsafiri
Автор

Sema yanga wanaupendo mkubwa sana kutoka uongoz had wachezaj💚💚💚

dhabihu
Автор

Wa kwanza leo hongereni sana watani mnaupiga mwingi

mohammedkidody
Автор

Wengi tulimkubali kiaina chama toka akiwa na makolo

Ila sasa hatumkubali kiaina tunampenda sasa vilivyo

Chama Triple C Mwamba wa lusaka .. Big up! 🎉🎉🎉🎉

Yanga Juuu

Ngobeicaptain
Автор

MAN OF THE MATCH, Nyota was mchezo kwa leo ni..

IzackMakole-ultt
Автор

Leo Mwamba wa Lusaka Tripple C gemu imemkubali almost goli zote Assist katoa yeye

BigZhumbe
Автор

Chama 😂😂😂😂duuh siyo mtu mzuri ata kidogo yani bila uruma

katolekiki
Автор

Chama Clatous is from another planet....what a player!

marwa_chacha
Автор

Yanga wanakula vizur ndo maan tunafunga na tuna fanya zohezi nyie amuogopi🎉🎉🎉💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛

annayambayamba
Автор

Chama baba, why simba sell Chama, Chama kaingia kwenye mfumo kakutana na wachezaji wanaoweza kuzitumia nafasi anazo tengeneza.

bensonbenezeth
Автор

😭😭🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️Yani Yanga hata sisi majirani yenu Burundi 🇧🇮 mnatupiga kama waharabu kweli😳😳goals 10 so painful 😣 hamna undugu kabisa

jeanpaulluanga
Автор

Chama fundiii zote katoa yeye ni usajili wa chama a2jala asaraaaa

erickluhanga