Yashry - Moyo Official Lyric Video

preview_player
Показать описание
#Yashry #Moyo #trending
Artist: @OfficialYashry
Producer: @jeffkomzbeats
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kindly listen, comment, like, share and don't forget to subscribe...

OfficialYashry
Автор

Mi na wewe ndo basi Tena daaah moyo😢, , , nice song wenye wamerudia zaidi ya mara mbili tujuane

SaidYusuf-us
Автор

Kaka niambie ngoma imeweza sana naitwa OFFICIALMASTORY

Mastory_ke
Автор

Kip up the good work and "one day yes" inshallah

shinnerstv.
Автор

Lukugaa👑..Ngoma inaenda kudumu kwa Miaka Miasita trust me

ramadhanngazi
Автор

Kubwa Ngoma .. dachdee1 nme pitisha, 🔥

ghettogang
Автор

Aminia sanaa kaka nakuomba kama hutojali ntumie wimbo wako kwenye filamu yangu mpya THE OFFICE ambayo ntaifanya karibuni...nakukubali sanaa

McBrayohvibes
Автор

Umenigusaaa bro kaza kambaa utafika malengo yako In shaa Allah

twalib
Автор

MashaAllh Leo ndo nimekaa making na kuskiliza huu wimbo...dogo ametisha sana

HamisiAbdull-yvhy
Автор

Wow good u got talent mashaallah may Allah open you door🎉

SalamaSwaleh-uh
Автор

Moyo mazafaka sukuma damu tu.. Kiherehere ya nini.. Unyamaaaa

abdulkarimkuchengwa
Автор

Upo kaka yashry mungu akutangulie katika kazi zko❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

ZabibuJuma-pqez
Автор

Unajua sana yani hi ngoma kali sana 🔥🔥🔥🔥💯✈️

chidi_don
Автор

Goma la kikweli asikwambie mtu mashaallah kakake mimi

Mazabig-xysk
Автор

🇹🇿🇹🇷🇹🇿🇹🇷🇹🇿🇹🇷🇹🇿🇹🇷 Moyo koma kudadekii kupenda penda moyo ona ulumpenda leo hatutaki wapi tutaenda moyo hongera brother for me perfect song ❤❤❤🎉

ulijuahilo
Автор

Nina kazi yng ya series nataka kutumia hii ngoma yako

HAKAMSDIGITAL
Автор

Big up broo it's super song lyrics

suuomari