Geniusjini X66 Ft Jay melody -Far Away ( Official Visualizer)

preview_player
Показать описание
#Faraway
Per -Geniusjini x66 & Jay Melody
1/7/ 2024-
Instagram @geniusjini_x66
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Karibuni sana ndugu zangu mashabiki zangu wa Muziki wangu nawapenda sana na nafurahi kuwa Nanyi siku zote na kunipa sapot kubwa Mungu awabariki sana ❤🫶🏿

geniusjinix
Автор

Kama unaskiza huu wimbo ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂

Zezeta-yrhy
Автор

Katikati ya mambo kibao hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunahitaji vitu vitamu tutulize akili so keep the good vibes coming 🔥🔥🔥

VIHIGAN_LION_EJ
Автор

Wale tuna rudia hii ngoma pitia na like Sema ilivyo Tamu jaymelod hajawai tuangusha❤

Lolo-qxhv
Автор

The chemistry between @JayMelody & @GeniusJiniX66 is on another level
Mad love from KENYA 🇰🇪 😍

VizzoClassic
Автор

This blend of Genius and Jay is the perfect Bongo blend. As their numero Uno fan from 🇰🇪, I declare them inseparable like a pair of legs

Dennis_Okelo
Автор

Afro Konpa❤ Konpa Swahili 🇹🇿🇭🇹🔥Swahili Konpa hit differently A Banger 🇺🇸🔥🔥🔥🔥❤

aollywood
Автор

Unyama sana mume tisha sana wanangu hii ni moto likes zaa Tiktokers uku sasa🌹🔥🔥🔥🔥🔥more love from kenya🇰🇪🔥

KINGSHALA
Автор

Hi nyimbo kiboko sana pila like kabla y kuhanza❤

cavernacaverna
Автор

I can't stop playing this song❤ jay melody much love from Nigeria

OphEcial
Автор

Msanii namba moja mwenye yuaimba kizungu kinaeleweka vizuri🎉🎉🎉I'm in kenya

ChingaKenboy-fzyr
Автор

East African Joe bwoy much love Geniusjini x66 from 🇰🇪🇰🇪

samjayke
Автор

jay melody ❤❤❤❤ kwni ulizaliwa studio na kukuta Michael Jackson anaimba

ChuxDaniel
Автор

Jay melody and jini another level ❤❤ love you guys from Ethiopia 🇪🇹

halalab
Автор

Ndo hili Dude linalosumbua TikTok hope its a banger

disrkmedia
Автор

Listening from Rwanda with much luuv ❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼

StanzaMata
Автор

Jay melody never disappoints, , geneus jini the beat killer🔥🔥🔥

Igweezysirleem
Автор

I came here to represent my fellow Kenyans ❤❤❤. Press that like button.

carloswekesa
Автор

Kama umetoka kwa tiktok ya obinna songa na like 🔥💯

ZippyMacha
Автор

I can't wait for this to blow up...Love from Kenya 🇰🇪

miss.lulonde