Kayma - Nanawiri (Official audio)

preview_player
Показать описание
#Kayma #Nanawiri
binti ajae kwa kasi ya ajabu ambae amejaaliwa uezo wa kutunga mwenyewe na kuimba mwenyewe tanzania vile vile ana sauti ya kuvutia sana na mwenyewe anaijulia kuitikisa mawimbi, ujumbe mzuri ambao anamzungumzia mwanaume ambae alimuona wanini na kumtupa ambae sasa anatapatapa kumuomba warudiane
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Alijua ntapata ajali wallah😢Mungu huyuhuyu ndie anaempa fundisho huko aliko😅

happynesbenjamin
Автор

❤niliumia sana kwenye mapenzi hii nyimbo imenifariji jamani❤❤❤❤❤❤

PrincessFaty
Автор

Habari kwanini hii nyimbo yko huiweki km wenzako ktk audiomak

KhadijaMasoud-mu
Автор

Hujaiachia Kwa google haidownlodiki jamani

saumukahindi
Автор

❤❤ gd lkn mbona sijaiyona ktk audiomak

KhadijaMasoud-mu