ABAYA OFFICIAL MUSIC VIDEO

preview_player
Показать описание
Artists - @OfficialYashry Ft @Fiz-Editzz

Audio Producer: @jeffkomzbeats
Video Production: @sandmanpictureske
Special Thanks to: @kombanihomes2003
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

UBunifu Wa Hali YA juu, sema tu Huu mwaka tunawadhalilisha Sana WANAWAKE😊
Tuwapumzisheni kidogo

His Excellency Mr Ashraf Hakimi

Mr_hotcake
Автор

Itakuaje sasa na mimi nishanunua...😅😅😅 motooo kama pasi wakuu🎉🎉

sandmanpictureske
Автор

Congratulations very nice production
Nlikuwa na fikra ya kupatikana kwa msichana naye akaimba kwa ajili ya gender yake nadhani ingekuwa conflict nzuri yenye ingeleta mshawasha kwa both side

mohammedhassan
Автор

UTAMU WA HALI YA JUU....KAZI SAFII💪💪💪💥💥💥

hyperdancecrewkenya
Автор

Yaani Wacha Abaya, nasikia hata vipuli hawapati.

Mkumbuka
Автор

Wajue na wazoee hivo kwamba noo Abaya kwani iko nn😁😁moto sana wanangu bigup😀😀💥💥💥

monta
Автор

Nimeikubali kazi 💪 mumetupiga na kitu kizito.Isikomee hapa, kazi nzuri nzuri namna hii ziendelee👌

tamani
Автор

Congratulations video imeenda bro's

RamadhanSuleimanNgazi-pcjw
Автор

Wow! Nice one brother. Keep it up. #YajayoYanapendeza

salimgonda