Jay Melody - Nahodha (Official Music Lyrics)

preview_player
Показать описание
Nahodha Track No 3 in the Therapy AlbumTherapy Album

LISTEN Therapy:

Connect: with Jay melody

@2024 Jay Melody All rights reserved
Learn more

#therapy #jaymelody
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wimbo mtamu jamani much love from Kenya🇰🇪

nancykathomi
Автор

Nimetulia tuli kwa jay yani anajua😊😊😊❤

MagrethMahenge
Автор

huyu msanii anawasidi wengi sana mungu amlinde🙏🙏🙏

MaotoIgnatius
Автор

Brother jay melody nakupenda kaka wee mkali sana my role model one day lazima tufanye kazi na zizaboy official kenyan musician

zizaboy_Official
Автор

Yaani iwajuwa sanaaa ❤❤❤❤❤ tupendane mm nipate mremboo nitampendaa pka asinywe yaaani mwenyewe

saidshatta
Автор

Hodari kwa mbali ya mbosso 🙌🙌 tamu sana hii❤❤

officialredstar
Автор

Nampenda sana uyu kaka anajua sana kuimba

AngelObed-nd
Автор

Kwanza we ni mwandishi poa sana asee uandish kama ASLAY kaka na unajua kuimba kwa kuvaa uhusika Yani mziki unaujua 100%. Vipi Shem kadhamilia kukutenga mzee tuingilie 🤗

jaffarymohammed
Автор

Wa Kwanza nipeni like zenu jamani 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 ngoma mpya 💪🏻💪🏻💪🏻

RichMavoko-nxcn
Автор

Nawaza hii ngoma ingekuwa feature mboso af mastering ya bit apige trones ila ni bonge la ngoma mwanangu ❤❤❤❤🎉

SwahiliAmbasador
Автор

😊😊😊 nimetulia tuli nyie jay anajuwa anajuwa tena

jokhajj
Автор

Jay hapa umeniweza Wimbo wangu huu from Germany 🇩🇪

hafsahamadi
Автор

I need like here jmny🔥🥂..jay is fire akii tenaa💯💥

tashrimabdulqadry
Автор

Mashaallah mungu akuogoze na akulinde na mahasidi

SalimUbao
Автор

Jaama anaupiga mwingi sna hongera🎉🎉🎉🎉

MasoudHaji-fv
Автор

Hujawah kukosea jay melod unajua saanaaa

eliasgembe
Автор

Hapa umenimaliza Sana jaymelody 🎉🎉🎉🎉very nice song ever ❤❤❤❤

MaryamBwana
Автор

*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

arabgandaempire
Автор

Meh bidallah 😜damanii jey melody wanimaliza Kwa songs zako 💖

amorjibaba
Автор

Kubababake jey melody anajua tujuane kwa like.

HassanMiraji-kp