Alikiba feat Jay Melody - Hatari {Track No.4}

preview_player
Показать описание
Music by Alikiba featuring Jay Melody performing "Hatari'', Track number 4 from the Starter EP.

Starter" is the beginning of a musical journey that dives into the raw emotions and experiences of life. Each track serves as an entry point into different facets of love, growth, and self-discovery. With a blend of captivating melodies, heartfelt lyrics, and dynamic beats. Whether it's the spark of first love, the thrill of chasing dreams, or the introspective moments of self-reflection, "Starter" sets the stage for what's to come, leaving listeners eager for more.

Listen to Alikiba on Digital Streaming:

Connect with Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba

©2024 Kings Music Records.All Rights Reserved.

#Alikiba #JayMelody #Hatari
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hili goma la kufungia mwaka 2024, kama unakubaliana nami gonga likes hapa tumpe nguvu king 👑kiba 🎉🎉😍😍❤❤👹👹🥰🥰

KibweOnlineTv
Автор

Majemeni wakenya wenzangu.. mbona watanzania wanapeana likes sisi hapana. All Kenyans let's gather here Show love .. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

HamisiChipotele-flxo
Автор

Kama kweli twampenda King Kiba, tumfikishe 2M SUBSCRIBERS leo

Duly
Автор

Jaman ali kwani ana sauti ngapi??? Like kisha mimi pia nije kulike comment yako!!❤

HalimaNamangupa
Автор

Hakuna kulala tukisubir kazi nzuri kutoaka kwa King 🎉🎉🎉❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿

omarmazoka
Автор

Guys Naomba like from Bujumbura kwa mikebuka Burundi 🇧🇮

kanyamazimakerebuyange-iwpq
Автор

so smooth and cool i like it 🔥🔥🔥🔥🔥🔥sema moto hatari wapi likes za king na my Jay melody guy

ambrosepatrick
Автор

Wengne like mnazitoaga wapi🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ nipeni kwa niaba ya king na melody hpa

andulileissah
Автор

Hii nyimbo ni nzuri kuliko Ile mliyohimba na nandy

Johnsonnsteven-zspgcxk
Автор

Someone to confirm this collaboration with Jay melody is fire through a like

Dannytitoff
Автор

Huu wimbo unani kumbusha Mapenzi Yana Run Dunia ❤ Naomba hata likes kumi nami

dcsouthernbypass
Автор

Naona vile viwatu ataangaika nakuteseka kisa EP ya king

HarunaFundii-lwzr
Автор

*hili goma kwa haraka nahisi mwandishi k2ga maana hizi ndio mellod zake naombeni like*

shadrackjuliuskaboya
Автор

jaman sijawah Pata like kwa king Ata 10

rodrickmihayo
Автор

Kama umeirudia hii ngoma zaid ya mara mbili kama mm gonga like 👍 😊

vulstanandrea
Автор

Likes za jay ziko wapi, mob love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

monicakamau
Автор

Me wa kwanza jaman naomba like zenu kwa Ngoma Kali kutokaa kwa mfalumee

LiviniShayo
Автор

KWA UNAEANGALIA HII NGOMA 2090 HUYU NDO ALIKUWA MSANII MWENYE MELODY KALI AFRICA NZIMA 2024 🙌🏾🙌🏾🙌🏾❤️

Silent_cries
Автор

Kwa mala ya kwanza king amekalishwa na jay melody

onekisstv
Автор

Kompa kompa👌👌👌👌perfect combination Kiba Jay Melody

swalehsalim