Jay Melody - Wa Peke Yangu (Official Video)

preview_player
Показать описание
Therapy Album

LISTEN Therapy:

Connect: with Jay melody

@2024 Jay Melody All rights reserved
Learn more

#therapy #jaymelody
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I hope hii video mmeipenda
Thanks for your support 🙏🌸👊

MyChannel-ox
Автор

Mfalme wa love songs kwenye kizazi cha wakati huu❤❤❤pure vibes

fredykezz
Автор

Jay never disappoint much love from 254🇰🇪🇰🇪 wa kwanza leo nipewe likes ata kumi tu wadau

laare
Автор

Ngoma Kali sana watu mnamkubali jay melody chungulieni hapo chini mnipe like

OldHindiGana-oo
Автор

Nice song me from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮nipe like zangu

Fiston.benalfa
Автор

Kwenye love songs hapa bongo kwa sasa Huna mpinzani kilaa ukiachia ngoma ya motoo sanaa

JamesReuben-gtup
Автор

Vimacho na zake lips kumpata sio rahisi
yaani kweli mungu umenibariki ...mimi umenibariki 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

BobiYsmf
Автор

Much love from Tanzania❤ wa pekee anguuh😊

Floragrande
Автор

Saizi kama unaamini saiz ukitaka kusikiliza nyimbo za mapenzi lazina usikilize za huyu mwamba tukutane hapa mwendo wa like tu ni ♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥✍️✍️✍️

NestymwampambaMwampamba
Автор

I wish I had a one life opportunity to work with jaymelody😢that girl is so lucky yaah😢jay if u see this just know I love yah man 😍🤗

kenzieismadela
Автор

Jay Melody naomba utoke na uyo mbinti mana ni mrembo sana 🙏❤️🥰

ByboyOndebit
Автор

So amazing and wonderful umeweza hadi umeweza tena ❤❤❤

diva_
Автор

Jay hanaga mambo mengi kwenye videos zake, ni yeye na mwanamke mwanzo mwisho hadi raha.

adetaurus
Автор

waoooh nice video 📸 director killed on dis.big shara out to you hascana

MtajiriCartel-gx
Автор

Beat, Melody, Verses, Ngoma Kiujumla na Kichupa Hanscana nae akaamua kuua kabisa The Real Jay Met The Real Hans 🎉

Salmeenmgangah
Автор

Nilivyokuwa nimesuburia hii video aisee😭🔥🔥🔥🤟🏾🤟🏾

tee-slash
Автор

Waaa had yangu ngojeeni next year by jay jay

AsumbiMissionHospital
Автор

Sb denno in the house nipe like yako kama unaisikiliza ukiwa 254

sbdennovevo-zoukstar
Автор

From Kenya, we declare this boy New king of bongo music

titusmwongela
Автор

daah!! jey kafanya mzuri kumshikilia hanscana hadi kazi zake mzuri sana

ticketmastertips