Miaka 4 ya EFM ya Majizzo, Mambo Makubwa 2 Yatakayofanyika

preview_player
Показать описание
Miaka 4 ya EFM ya Majizzo, Mambo Makubwa 2 Yatakayofanyika

Kituo cha Redio kinachotikisa Dar, EFM, kinachomilikiwa na Mfanyabiashara Majizzo, kinatarajia kusheherekea miaka minne ya kuzaliwa kwa kituo hicho ambacho kilizaliwa mwaka 2014 ambapo itakapofika Aprili 4, 2018 kitakuwa kinatimiza rasmi miaka minne.

Akizungumza na Global TV, Mkurugenzi wa vipindi wa EFM, Dennis Ssebo, amesema katika kusheherekea miaka minne ya kituo hicho kuna mambo makubwa mawili watayafanya, moja ni kuongeza masafa yao katika mkoa wa Dodoma a mikoa mingine, pamoja na kuendeleza shindano la shika ndinga.

Install #GlobalPublishersApp

Рекомендации по теме