USALITI wa BOB MARLEY kwa Mkewe RITA, Michepuko 8 iliyompa Maumivu, Rita aeleza alivyobakwa na Bob

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Namkubali sanaaa, Bob! ❤ haswa Sauti yake..👌🏻hakuna Binadaamu aliekamilika! Kila mtu ana mapungufu yake.

satwanthoogan
Автор

Boby kamuumiza sana Rita.. sio fresh kibinaadamu

angeldejoice
Автор

Asante sana kwa hii historia ya familia ya Rita/ Bob Marley kila kitu umesema ni kweli kabisa.

billian
Автор

Leo nzima nimekuwa wa kwanza kwenye kila video soon mtanikuta kwenye SNS MEMBERSHIP #🇰🇷

tukolivemedia
Автор

Huko Jamaica na visiwa vya Caribbean na nchi za South America wanaume ni wasaliti sana kamwe hawawezi kuwa na mwanamke mmoja ni wasaliti sana kuliko wanaume wa kibongo

happynelson
Автор

My best musician of all time# 👑 King BOB MARLEY#✌️raster faharah

mohamedslh
Автор

Hapo ndio lazima watu tujuwe kuwa Sky King you are The boss of SNS

sonnyr
Автор

Mwanamke au mwanaume super star lazima akutane na kadhia za namna hii kwa sababu ya nature tu.lazima uwe mvumilivu saana.

yessemwakibete
Автор

No woman no cry ulikuwa ni wimbo maalumu kwa ajili ya Rita, ijapokuwa idea ya wimbo ilitokana na kilio cha machozi cha binti mdogo aliyekuwa analilia kuchezea guitar katika ghetto la rafiki yake na bob marley

loner_wolf
Автор

Wakanza Leo naombeni like wanna familia ya sns

josephatjosephat
Автор

Huyu kwa kifupi alikuwa ki**tombri but alikuwa handsome sana hata mie ningekutana nae ningempa

vanessalaizer
Автор

Jamani mimi mwenyewe ndoa yangu inaniumiza sana. Mume wangu anazaa
Hovyo. Ananisart sana

mosesfrancis
Автор

Hayo ndo madhara ya kuwa na mume handsome boy kila mtu anammezea mate

laylatabdallah
Автор

tutaftie na story ya maisha ya miriam Makena mama africa

Dantaata
Автор

Kiukweli sky napenda San unavyo wasilisha makala zako nakuombea ipo siku media yako itakua kubwa sna uko vizur

mosesmaryz
Автор

ndio maana dini yetu ya kiislamu ikaruhusu m'ume mwenye uwezo kuoa wake wanne, alimpenda sana mkewe na hakutaka kumchosha, lkn vile vile alipenda sana watoto🥰🥰

yusrahamza
Автор

Skywalks nawakubali
sana weye na Esco Big up Mwana SnS

Nyaburyaofficial
Автор

Sky na millardayo ndio tishio kwa sasa wanajua sanaaa

eyabdimaha
Автор

Shida nyie mnashindwa kuelewa bob alikuwa na akili kubwa, sio kutembea na wanawake hovyo, na yeye alijua ndoa imeanzishwa na raia tu bila sababu za msingi, huu ni upuuzi kabisa, hawezi akawa ana tabia mbaya alafu akaimba fact kwenye maisha, ndiomaana lengo ni watoto kwa mwanamke mzuri, Kuna mababu walikuwa Wana watoto 10 na zaidi, Ni maisha ya kawaida tu Sema mwanamke ndio alikuwa na wivu hoja kubwa hakutaka kumsumbua na kumchosha kuzaa watoto aliotaka, alikuwa na upendo na kutambua nafasi ya mke mkubwa, Sema akili kubwa ilioa akili ndogo, ndiomaana wengi kama bob huwa hawaoi. period

msafirimiracle
Автор

Asante🇧🇮🇧🇮🇧🇮 from Burundi in Cape Town 🇿🇦🇿🇦🇿🇦

salimramadhani