MWISHO WA DUNIA UNA MAMBO MAZITO YA KUTISHA...!!

preview_player
Показать описание
#wasafi #TheStoryBook #KIAMA Simulizi inayohusu mambo yatakayotokea Siku ya Mwisho wa dunia kama inavyosimuliwa toka baadhi ya vitabu vay dini.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Inatisha sana eh mwenyez mungu mtukufu tujaalie mwisho mwema ummat MUHAMMAD s.a.w😭😭😭

naimamunishi
Автор

Ya - Allah utusamehe madhambi yetu na utupe mwisho mwema amen

tatuhuruka
Автор

Ee Mungu unijalie niumalize mwendo salama. AMEN

jofreyfesto
Автор

Kama unaamini mwisho wa dunia uko karibu gonga like apa

alimruu
Автор

Kama umepanga kumrudia mungu gonga like apa

ochubaddest
Автор

Tatizo la diamond kuwafukuza hawa wasimulizi huwa linaniuma sana maana ipo siku na yeye atasimuliwa....Bigup sana jamali...👍🏻👍🏻

abdallahmniga
Автор

Ameanza kujiongeza Sasa! Simulizi YA leo imebebwa na hisia YA hali YA Juu! Hongera

suhailaali
Автор

Kaka mungu atakulipa kwa ukumbusho huu kwa kila mwenye akili timam ataacha machafu yete na kurudi kwa Allah muumba wa kila kitu

jumannerajabu
Автор

Eeeee MUNGU utuhurumie sisi wakosefu tuwe na mwisho mwema wa dunia utusamehe makosa yetu AMEN.

minzletluhunga
Автор

Mungu atujaalie mwisho mwm na kauli thabit ya Allah🤲😢😭

aminakhamis
Автор

Eeh Bwana uirehemu moyo wangu na uongoze siku zote maishani...twakuomba utusamehe sisi waja wako!!

cosmaskering
Автор

Daaah jamal unajuaaaa🔥🔥🔥 km unaamini GONGA LIKE hapa

blackwinnersdancers
Автор

"Subhanallah, Allah tustiri waja wako utusaheme makosa yetu utupe mwisho mwema ya rabbi🙏

rukiamatano
Автор

Yarabbi atujaalie mwisho mwema🤲...Jamal unajua wasiokutaka wasisikilize hatujawaforce👌

ashurahussein
Автор

Inatisha sana ila tunaomba utuleteage mafundisho kama haya mara kwa mara huenda tukabadilika ubarikiwe sana na kazi njema

emmanuelnzaligo
Автор

Allah tupe mwisho mwema sisi waja wako WAISLAMU ya rabb🤲🤲😭😭hussnul AL khatima ya ALLAH

twalhaadam
Автор

Kama unamkubali uyu jamaa gonga like twende sawa👍

tallmunyama
Автор

Mungu tutie nguvu zako ili siku hiyo tukuone na tukulaki 🙏

lightnessjose
Автор

Wanadamu tumwamin Mungu peke kwan iman ndo itakayo tuponya, lakin pia napenda makala zako big up sana bro jamali mustaphs

fromenapatrick
Автор

Mungu nisaidiee nimalize mwendo salama!

diapesapius