Arnold Schwarzenegger alivyompa mimba mfanyakazi wake wa ndani wakati mkewe akiwa mjamzito pia

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bora huyu anold amekubali na kumhudumia huyo mtoto I like that wengine wasinge kubali

rosekingalu
Автор

Asante sana kwa kunijuza ili naitaji kujuwa kuhusu rambo maisha halisi na familia yake kama hutojali👏👌

kimsarahfahyma
Автор

Mke na mfanya kazi ote wanakibendi wakati umoja daaaah wahuni sio watu wazuri😂😂😂

hamzanasry
Автор

Anaeikubali movie ya Terminator tujuane hapa👍

kijeshiabdalla
Автор

Dada wa kazi alikuwa anamupa kila siku Boss enjoys adi mtoto akapatikana😂😂

zabibuamissi
Автор

Ndugu zetu it's too much tusijifanishe hataàaaa kidogo

sakinaabdallah
Автор

Arnold ni mwanaume wa maana na baba mwema siyo wanaume wa Dar kukataa watoto 😅😅

ilynpayne
Автор

👍Kwa kumjali mtt wake jap sio wa ndoa 🙏🙏

aminatanzanya
Автор

Joseph Schwazenerger is the next Terminator against John Corner. Like father like son

Papaa_Hillary_Mrema
Автор

MAPENZI ni hisia zinakupeleka zitakavyo

kreamagdfsa
Автор

Mi niljua mfanyakaz alikua Babyface kumbe sura km Siri ya giningi😂

just_b_there
Автор

Anaacha mke kijana anaenda kulala na mwanamke mzee watu wengi walishangaa

happynelson
Автор

Dah kumbe Schwarzenegger nae ni mzungu mwenye asili ya Africa.

hallin
Автор

Mtoto wa ki Guatemala alikua anajibinua binua mwamba akaona ale mbichi tu isiwe tabu...

jojigeorige
Автор

Waah hisia nazo mbaya jameni Arnold kavutiwa na house help na kuingia mzima mzima na Joseph kapatikana
Seems sio mara ya kwanza au ya pili nikitu alikuwa anaenjoy heheeee

shiksshiks
Автор

Nyie munachukua àkili za Watu waliostaarakika uzifanishe n'a zetu? Sisi hâta mwaafrica mwenzenu tunamuingilia katika maisha Yake Léo hivi kesho vile mpaka tunavalia njuga iwapo Kaka yetu kamgaiya mke wake chochote oh' Léo mke mtu mzima¿ Léo hivi i'ts terrible

sakinaabdallah
Автор

Mfanyakaz akiwa poa na ana heshima na sifa zote unachukua tu unaliacha dung'aembe likatangetange mbele sasa mtu hajui kupika walakufua nguo vizur wanini huyo

Mpakauseme
Автор

Hapo nikumuheshimu mfanyakazi sana wengine utakuta wanawatukana bira sababu na kilaatachovaa usivae hivi kwani ukijifunika gubi kama ukitaka kutembea namumewe unatembea nae2 ila unaheshimu kutongoza wanatongoza sana ukijilegeza unaliwa2 wengine wanakuonyesha adi uchi hili ukubari😆😆😆😆

sanisani
Автор

Kwakweli hakunagafanyakazi wa ndani mgumba

الرعدالصغير-تش