Video ikimuonesha Bad Bunny akimyang'anya shabiki simu na kuitupa ndani ya maji yawachukiza wengi

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yes very good amefanya poa sana kabisa 👌🏻👌🏻

mscantraah
Автор

Haya ndo Mavuno kwa nyinyi Mashabiki, Mkiacha kuwashobokea Watakuwa na adabu. 🙄😏🤔

itNeza
Автор

Kama Ronaldo nae alitupa simu ya shabiki

mohamedaden
Автор

Nimetazama mara 5 hii videoDuh! Hawa jamaa sio poa. Hii video nimecheka sana yaani jamaa anaitupa sim bila kujali😁😁😁😁

hafidhali