SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC: MAGOLI YOTE: (NGAO YA JAMII: 17/8/2019)

preview_player
Показать описание
Simba SC imetwaa NGAO YA JAMII kwa kuichakaza Azam FC kwa mabao 4-2 huku usajili mpya wa wachezaji wa Simba SC ukifanya vizuri. Shaaban Chilunda ameanza kuonyesha makucha yake kwa kufunga goli baada ya kurejea nyumbani akitokea Hispania. Mchezo ulikuwa LIVE Azam Sports 2.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Uyu shiboub anakera uyuu alie ona agonge like ming sana

youngluxewatz
Автор

Kutangulia mbel c kufika this is the simba makombe tutachukua back to back haji manara ulisem waige wafe tu rah sana simbaaa👏👏👏

khadijakhadija
Автор

Leo ndo nmeelewa maana ya neno iga ufe na this is next level simba nguvu moja💪💪

deusibonaventure
Автор

Kama umeona shabani chilunda anashika kichwa Baada ya chama kupiga chenga gonga like

fredymjindoseverine
Автор

Kama unaamini kuwa kahata ni fundi gonga like twende zetu

gidionmchembe
Автор

Kwa Simba hii hapa bongo watapata tabu sana

mzeewajambo
Автор

aliyeona kama mimi chilunda akishika kichwa🙉🙉 kabla chama hajafunga goli latatu..😂😂#next_level

marcky_jr
Автор

Mie wapili jaman naombeni Like za kutosha hasa wale watu wangu wa nguvu kutoka UNYAMANI

luganostewart
Автор

Simba haizuiliki wametangulia wakajishauuwa moto umewawakia This is simba

MohdRashid-cuqb
Автор

Kama unaunga mkono kauli ya baraka mpenja kichwa cha tani moja nipe like za kutosha😂😂😂😂🥰

lizzyshoo
Автор

"wapo wp waliomfananixha Na msanii flani hivi*" huyu ni🔥🔥🔥🔥

ladenikisiga
Автор

Next level shibobo sio wamchezo
🔥🔥🔥💪💪simbA yamwakahu jamani uwanja wataifa teams ziwe makini asije mtu akapigwa 200 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😁😁😁😁😁😁😁🙏🙏🙏🙏

chusseboywcb
Автор

Baraka mpenja ndie mtangazaji bora wa Mpira Afrika mashariki na kati, Nani anabisha

makuwangojnl
Автор

Nan kawaambia kulala barazan ndio kuwahi kuamka simba itabaki kuwa juu tn mawingun

ibraline
Автор

Hii SIMBA wallah watu wataendelea kuteseka sana lol.YNWA

mrliverpoolynwa
Автор

Chilunda alijua goli mapema ndio maana kashika kichwa...
Shikamoo chama

eddygonza
Автор

Hongera simba na chama langu kwa matokeo mazuri mlioupata, tukaze but I safari bado ni ndefu tunaitaji muunganiko kam teamwork tufanikiwe zaidi, .pia tuna makosa madogo madogo tunayafanya has a making tuna pia hamn ukiwa magoli tunaruhusu kizembe has a muunganiko wa kipa na mabeki tusikumbali kuonyesha udhaifu tuimarike na kurekebisha makosa hayo madogo KWENYE safu ya ulinzi

clintonkioko
Автор

Now ninaamini ile kauli ya manara, tutachukua back to back mara kumi! Kwa east Africa hakuna team ya kuifananisha na Simba

charliejunior_
Автор

Kwasimba hii watapata tabu xana ndani na nje ya ligi kudadeki

abdulhemed
Автор

Mimi sio mpenzi wa Simba lakini msema kweli mpenzi wa Mungu naomba tff wawape kombe lao sujaona timu ya kuifunga Simba msimu huu sio kwa kiwango hicho dah hatari 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥

salimliemba