Jiunge kuwa Member wa SnS VIP Family

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family kwa $1.49 (TZS 3474) kundi la SnS VIP 1 na $5.49 (TZS 12,802) kwa kundi la SnS VIP 2 kupata mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii kujiunga:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bro. Sky can you please start kids chanel? Huku Ughaibuni kuna watoto wetu wengi wana vipaji sana, sana like in arts, maths, music and so many. Na I'm quite sure huko nyumbani TZ wapo watoto wengi wenye vipaji sana. It'll be really cool if they socialize at least over the weekends. Kama utataka tu contribute to run kids chanel please let us know. You'll be surprise wazazi wengi watajitokeza to support this. It's just suggestion. God bless🇺🇲🇺🇲🇹🇿🇹🇿

fatunam
Автор

Congratulations SNS, , , am in INSHA'ALLAH 👏, , , , haswaa hapa kwa mapishi ya #babysky❤️❤️❤️

messaabbas
Автор

Tupo pamoja 🙋🏾‍♂️ LETS SUPPORT OUR OWN🙋🏾‍♂️

simulizi
Автор

By God's grace we'll support you. What I like about SnS is 95% of their news titles match with their stories.

fatunam
Автор

You are doing a great work guys keep it up 🤠🤠🤠🎊🎊🎊🎊🎊

saidalssa
Автор

Congratulations my always favourite family....keep it up..creativity mko nazo ...babysky tupo pamoja kwa upishi

anicyaedward
Автор

This is major move can't wait to join VIP 2

Zaidiyanusumedia
Автор

Bro. Sky please double check bei ya hizo membership. SnS VIP 1 monthly umesema ni $1.49 na VIP 2 umesema ni $5 & some cents. But youtube inachaji VIP 1 monthly $2.99 na VIP 2 $ 6 & some cents. It's kind confusing!

fatunam
Автор

Nipo Tz But nawakubali Sana Kwa Habari Za nje Hasa Nigeria Artist Burna Boy African giant 🦍🦍 Odogwu

Odogwu
Автор

Apoo kwenye mapishi ya babysky mshanipata😻😻🤤🤤....mlio qatar naombeni nielekezeni kutumia oreedoo money niweze kulipia 🥺😪

beatricefrankngalubutu
Автор

Usijali kaka tutafanya ivo aksant sana

levienlevismmbenga
Автор

SNS mbona hamjatujulisha kuhusu kifo Cha ken... Mwendeshaji Bora wa Magari yaendayo kasi... Ebu tujulishe Kwa ubora....

SUNDAYMRGAMINGTZ
Автор

Kaka nakuombea umiliki TV station sns TV vipindi vyako vinajitosheleza kuwa TV matangazo tu ndo tumekosa nakupongeza Sana nategemea soon kuwa sns Familia mwenyezi mungu akupiganie sana

chefdrew
Автор

Teacher sky tuko pamoja usjali tutawasaport

hafidhali
Автор

Sikukatishi tamaa mkuu 😁 ila kwa hali tulionayo bongo saiv itakua ngumu😁 ikiwezekana na mapishi tuekee hapa tuta view kwa wing

mbunah
Автор

Kitu nirigundua nyiye wa tz munawubaguzi mujue east Afric niwamoja mujue Hao wasani wenu wanamashabiki wengi wanatoka Kenya . Burundi . Rwanda.ouganda
Munaishiya kupromota wasani wenu too ivi Sk ukiangaria watu ambawo wana Ku follow niw tz too ? Sk muafanyie wasani wote

gracyanygracy
Автор

Sasa sisi wa Burundi mbona itakuwa ngumu kujiunga for instance aina ya malipo hayo naoana itatusumbua hali yakuwa tulitaka pia tuwemo... show me what to do

karimniyo
Автор

Sasa mimi situmii hizo payment zote inakuaje? Ama nafanyaje?

mrsliverpool
Автор

@🇬🇧🇬🇧🇬🇧

Sky umesema VIP 1 is $1.49 so what I assume if nikilipa na Pound itakuwa less but naona it's £2.99 . How does this work ??? NAOMBA NIFAHAMISHE

nz
Автор

Mimi Niko Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nawza jiunga vipi??

bigvempire