Aliyempiga risasi AKA yadaiwa ni mwanamke ambaye naye alikuwemo kwenye mgahawa wa Wish

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Naomba Mungu ashikwe apatikane kabisaaa

jamillahaidha
Автор

ni yeye na engo alokaaa ni engo ambayo alikua anaangaliana na yule wakujinyoosha😢 too sad

saradaniel
Автор

Lazma kuna CCTV za majirani pia, wakitaka kumtambua watamtambua tu, CCTV za neighbors pia ziangaliwe na wakati huo, lazma watapata tu the really pic ya scenario yote,

jcrackcrack
Автор

Damu ya mtu haipotei bure, waauaji watapatikana tu

fatumazangu
Автор

Ya Allah ni kuomba mungu sana leo yeye kesho hatujui ni nani

mscantraah
Автор

Tazama vizuri Sky huyo dd hakua amekaa peke yake bali alikua na mshikaji fulani amevalia kofia nyeusi.

jaymandy
Автор

Yan soon muuaji anapatikana investigators ni wengi sana😂😂😂😂

carolinelivingstone
Автор

Kikulaacho mama kinguoni mwako rafiki yako ndie adui yako, unakula nae unakunywa nae ila mwenzako anaona geeelelelelele aa gelelele so scary😳😳

vanessalaizer
Автор

Uchunguzi wa kweli ukifanyika muuwaji atapatikana!!

saidfhamad
Автор

Nimwanamke namuomba mungu ashikwe😭😭😭😭😭

bigirumanalululouise
Автор

2punguze roho mbaya Tamaa na wivu wa maendeleo pambana kupata chako na Co Kla k2 cha kulpa m2 akkukwaza mkabdh kwa MUNGU yote yanawezekana😢

fatumajumanne
Автор

sijajua ni kwanin CCTV camera zinakuwaga hafifu, wafungage simu bas maana simu zinachukua picha ang'avu zaidi ata iwe imbali wa mita 10

hallin
Автор

Hatari kwelii kweli haya tutajuwa mwisho

thaniakassim
Автор

nikitazama vizuri inawezekana kuwa ni mwanamke ila hakuwa peke yake

livesports
Автор

Subhanallah duh Allah aturusu atuepushie wanawake kua na roho mbaya km hizi dunia imeisha jmn tufanyen ibada dunia tunapita tu hp

maryamnassoornassoor
Автор

Inawezkana sana kua kwel ni mwana mke coz ana shape kabisa ya kikee

mudighurayra
Автор

Inawezekana ndio lakini alikua anawasaliana na hao akina Don. Hao akina Don ndo walomuambia toka inje tunajianda kutoka inje kisha wakampa ishara ya kuja kushuti AKA alipokua inje.

jaymandy
Автор

Cha muhim wachukuwe Video nzma ya huo dada kwanzia anaingia mpka anatoka, coz kma ni yy kwel, bila shaka muuwaj alienda kukaa kbarazan pale.

alimohamedalhinduwaan
Автор

Ni kweli. Tazama chini ya kwenye miguu uyaona Rangi nyeupe inayoonyesha ni viatu

kabhikachambala
Автор

Nachokishauri wachukue simu ya don designer wafanyie uchunguzi basi itakuwa imeisha iyo Ata akifuta ushahidi bado kuna wataalam wata analyze nan kahusika

roi