MARIOO adai DIAMOND ulimi uliteleza, MWIJAKU aingilia na kuchezea POVU zito

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family kwa $1.49 (TZS 3474) kundi la SnS VIP 1 na $5.49 (TZS 12,802) kwa kundi la SnS VIP 2 kupata mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii kujiunga:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Diamond mwijaku anakuharibia sana bora h bb na levo

furaha
Автор

Hata kama kateleza but ilikuwa ni inspiration tu kwa wasanii wengine kuwa sio lazima wasafi tu hata wao wanaweza

Markhomestz
Автор

Ukienda wcb utakuwa na mafanikiwa zaidi, unajua hata mbwa mwitu humvimbia Simba na kusahau ya kwamba, bila mbwa mwitu wengi hawamuwezi Simba, simba Ni Simba bhana, hata tembo akijisahau huliwa 😀😀😀😀😀😀

kangaelias
Автор

Mkenya wa kwanza kucoment likes zangu bc

samsam-uoju
Автор

Mario Don't be forced by fools Diamond Is the best so if you want to listen to what people are saying You are going to sleep in a water rocket what what's diamond Has done to other musicians just look at the way it looks like look at the people that is stand to Do the shows see your shows Don't listen what people are saying diamond

schelamalunga
Автор

I'm broad diamond I just like you so much like what you are doing continue doing that let people hate you hate you for that you never suffer you're just trying to help them and they're

schelamalunga
Автор

Diamond anaroho yautu sana, , Yani hivi anavyotukanwa na mwijaku, , , Bado anampa hela ya kula, , haa sawa ila kama nimimi nisengeweza 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

seifujuma
Автор

Kwani daimod kawa mungu wanataka kumuonea marioo kilichomfanya sadala kuongra huo upuuzi wake kama ilikuwa Siri yaan sadala ni nonsense kabisa mpaka chawa wanaongea Marioo fanya muziki wako wcb watakumaliza maana wajaza tumbo wamejazana pale

salmaathuman
Автор

Harmonize Kwa nn ulimtembelea mariooo jmn 😂😂😂😂

adolphmwangoje
Автор

Mwijaku wewe tafutakazi achana na uchawa huuwezi yan 🤔🤔umekushinda uchawa

victormartine
Автор

Mondi anafosi ili aonekane wasanii wote ni wadogo yeye Tu ndio mkubwa pumbavuu

issazalala
Автор

😂 😂 😂 😂 Pitieni kwngu guys let's grow together

chocolatevivian
Автор

Mtapiga makelele sana
Huu mchezo hautaki hasira
Mchezo huu wanaujua simba na Mario
Wana Lao jambo...kwa hiyo tulieni
SnS wamepata stori ya mwezi
Hapo bado recap itakuja, halafu tukio la kufungia na kufungua mwaka, halafu jambo lilotikisa 2023...yaani Sns ni vimbweka

vincentmushi
Автор

Mbona nyie sns stor zakumkashifu Diamond ndo mko mstarewambele kutuletea ila zakumpongeza nyingi mna potezea

gidionchitojo
Автор

Sns mna matatizo n'a Diamond??? Kila story yakumponda mnaivalia nanyiye ni machawa media????😂😂😂😂😂😂😂I wonder

ibrahimfarha
Автор

Mutuambiye basi OMOYO Remix JANE MISSO FT HARMONIZE imekwenda wapi ama umefutwa

alineyaya
Автор

Hii mi inanidhihiria yale aliyosema Konde:
1. Mondi hataki watu wengine wafanikiwe kumpita yeye. Marioo anafanya vizuri sana pekee yake (independent). Someone like that doesn't need a record label to push him. To me it looks like he's doing just fine on his own. Being signed under a label will limit his flow, unless he signs under his own terms
2. Mondi anatuma watu kumuongelea. When Harmonize said this in his famous tell-all airport interview, I took it with a grain of salt. But now Baba Levo has come with a post detailing the encounter which has been refuted by another eyewitness (Msizwa, was it). You have to wonder that if Baba Levo and Msizwa were in the room when Diamond said what he said to Marioo why would their stories not match up. The only way this makes sense to me is if Diamond has sent Baba Levo now to post this on his behalf to clear the air, him still watching in the background as things crumble around Marioo. Like WTF?

starford
Автор

Ame yakuza uyu mpumbav mwijaku kuchonganisha

braynbreezyoficial
Автор

Diamond akikata mkono wake utakula je?

D-Man.B-Free
Автор

Yaani Sns wakikomalia issues za Mond wanaziongelea mwezi mzima.

kassimrajabu