KABLA YA KUNUNUA HISA ZINGATIA MAMBO HAYA, FAHAMU JINSI YA KUWEKEZA KWENYE MASOKO YA MITAJI

preview_player
Показать описание
Zipo mbinu nyingi ambazo Watu huzitumia kupata pesa na kujikwamua kiuchumi lakini pia zipo mbinu nyingi za ushindi ambazo Watu huzichangamkia na kutoboa kimaisha.

Miongoni mwa njia zilizowafanya wengi wakatoboa ni mbinu ya kununua hisa kwenye Kampuni mbalimbali na kuchangamkia gawio lakini wengi hawajui jinsi ya kununua hisa au kupata ushauri kuhusu ununuaji wa hisa.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mimi nafkiri Tanzania mbali ya hii Zan security hakuna elimu ya fedha ya kutosha kwenye vyombo vya habari na mabenki. Watu wanahitaji kujua faida, hasara, vigezo na kima cha kuanza kuweka fedha kwenye soko, benki au kampuni. Jambo muhimu zaidi ya yote wateja wapewe elimu ya wazi bila kificho mapato na matumizi au tuseme faida au hasara ya kupanda na kushuka sarafu kimasoko. Asante kwa kushea

amourmtungo
Автор

Excellent, but Kama mtu hajui kusoma income statement, balance sheet na the statement of cash flow itakuwa ngumu Sana kuingia kwenye stock market.

rogath_silayo
Автор

Asante kwa somo nzuri je mnawasaidiaje watu waliopo nje ya mkoa wa Dar es salaam

ElizabethManko-tu
Автор

Fungueni ofisi dodoma ili tupate huduma kwa ukaribu zaidi

HidayaElias
Автор

Mimi naitwa Ali hiyo Afisi ya Zansec iko wapi hapa Zanzibar

aliabdallaali
Автор

SoMo zuri Sana...ngoja NI save hii video nitakuja kuatafuta hawa.

rogath_silayo