Kijana kutoka LINDI asepa na NDINGA ( km 0) thamani yake ni noma, atumia njia hii kupata gari hili

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family kwa $1.49 (TZS 3474) kundi la SnS VIP 1 na $5.49 (TZS 12,802) kwa kundi la SnS VIP 2 kupata mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii kujiunga:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera home boy nachingwea ndio home 😘

maryamhassan
Автор

Hawa Jamaa wamefanana na Huyo Jamaa wa Parimatch 😂😂😂
Na pia hajui ameshindaje😂😂
Michezo pia haijui...😂😂

hamoudcreator
Автор

Mbona kama ni one family??? Kama Pari Match ya mchongo

D-Man.B-Free
Автор

Hakuna gari kilomita zero, huu ni usemi tu tumeuzoea kusema, gari likitoka kiwandani lazima liendeshwe test, na hata ndani bandarini linapokuwa transit pia huendeshwa na utakuta port nyengine sio chini ya kilomita 1 toka point A to B. kiufupi gari hata jipya huendeshwa at least 5 to 10km kwa uchache ila nyingi mpya kabisa zinaanza na Km kuanzia 50..

jimboulaya