Mocco Genius feat Alikiba - Mchuchu (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Music by Mocco Genius featuring Alikiba performing ''Mchuchu" (c) 2024 Imagination Sound & Kings Music Records Label.

Listen to Mocco Genius on Digital Streaming:

Connect with Mocco Genius on Social Media:

Connect with Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:

©2024 Imagination Sound.All rights reserved.

#MoccoGenius #Alikiba #Mchuchu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri kingsmusic

omaryluambano
Автор

Alikiba hajawahi kukosea duh umeelewa like

rabbik
Автор

THOSE WHO ARE ERE FOR #ALIKIBA 🖐🏾🖐🏾 hii kitu ni moto sana #mocco genius is a genius 🔥🔥🔥 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
nipeni likes

allankenyali
Автор

Kaka mkubwa Kiba umeweza nipeni like zenu from Qatar 🇶🇦🇶🇦🇶🇦

SalimDondo-hi
Автор

In Africa, , East Africa their is only on King, , , And the king is Kama kuna mtu ywakubaliana na mm gonga like hapo

fabianbrian
Автор

Daaah Kiba ana melody kali sana mpaka sana hili jitu lingeamua kindaki ndak daaah mond angesubir sana....ila ndo ivo vitu vizur vinaonekaga kama havina maana ila mimi nakupa maua yako Broo🌹🌹🌹🌷🌺🌺

augustinomauki
Автор

Jamani anawakuli moco na ali nipeni like 👍 from south africa 🇿🇦 😊

JumaSango-yobj
Автор

Wa kwanza kwenye comment, nipeni likes za 254 🇰🇪

braybah_oley
Автор

Kama Unamkubalia Na Mimi Mocco Genius Ana Baya Nipeni Likes Zake 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

jaekygraphy
Автор

Hii Tamu Bwanaa...Mbona hata mama aliniambia Kila kitu changu Cha kwako

salimbazmul
Автор

I wont force my kids to love alkiba, ,they have to choose between listening or leave the house ❤❤ love it gonga like hata 10

KelvinKigamu
Автор

Uyu alikiba apewe ulinzi mana duuu kazi nzuri mocco 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥

chodohbbway
Автор

Huyu jamaa anajua sana, , King kiba pata Sign yake awe kwenye Label ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

Kingsospeter
Автор

Bonge moja la Zuju flavor.. nyie kaeni mkijua Ally kiba ipo siku atafanya watu tufe kwa kuinjoy Mziki wake... 🔥 🔥 Mocco wee pia ni King music Members brother amini nachokuambia...

sumadashsumadash-yxeb
Автор

Mocco mtu hatari kabisa fundi 🔥🔥🔥👑 KINGKIBA 👑🔥🔥🔥🔥🔥

dr_donye
Автор

Nimesikiliza Kwa sekunde 30 tuu imetosha kujua kuwa hii ni bonge la Hit 🔥🔥💯💯

geofreyanania
Автор

King kazi safiii the king of love song like zenu

shitandiprotus
Автор

Aahaa
Yeah
Hii tamu bwana
Kompa kompa
Busu tu nazima
Mahaba yako mazito
Ukiyapima
Oooh uwezo sina
Ningekuonga madinar🎉🥰🔥

FaudhiaAlphonce-tuiv
Автор

Kama una kubali yana na mimi ngoma iyi kwenye ma arusi ita ruka kwasana 🎉🎉🎉🎉

silversindjalabakeni
Автор

🔥🔥🔥kama umeregelea kipande cha king Kiba gonga like moko tuzidi kuskiza Muzik mzuri

jumatours