ALIKIBA X Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy - Mwambie Sina (Official Video)

preview_player
Показать описание
Baada ya kufanya muziki kwa miaka zaidi ya 15 na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa sasa ni wakati rasmi wa kurudisha kwa jamii kwa kusaidia kukuza sanaa kwa kutambulisha na kuvipa support vipaji vipya kwa industry. Nawatambulisha kwenu vijana wangu Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba kutoka record label yangu - King’s Music.

After a successful journey in my music industry, it is time to give back and nurture upcoming talent. I am thrilled to introduce to the young and talented musicians Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba from my record label King’s Music.

Instagram: @KingsMusicRecords
Facebook: @KingdMusicRecords
Twitter: @KingsMusicTz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yap!kama shabiki kweli wa tim kiba gusa hapo like yako hapo chini kazi nzuri san king kiba MWAMBIE SINA🔥🔥😂

babuu
Автор

kama umeukubali huu mstari wanaosema una danga kwangu ni danga nataka likes one million za kings music husipo like kings hatupendani

kassammwalo
Автор

Jamani timu kiba wenzangu mm nishakodi chumba YouTube

saadeased
Автор

Nani anatazama hii baada ya cheed na killy kujitoa kings music
15-4-2020

rajumpwatile
Автор

256 Kampala uganda tunampenda kiba ila team kiba nawaomba mgonge like hapa please marafikizangu

luckyboybusinge
Автор

Sijawai pataa hata, like moja wabongo roho mbayaa tyuuu

josephsanga
Автор

KING kasoma vichwa vyetu sana wengi hatuna wa kutamba nao yani hii nyimbo pure BONGO FLEVA hakuna Kelele za NIGERIA 😂😂😂😂😂😂
TEAMKIBA FOREVER MPAKA NAKUFA 😘😍😘😍

mahfudhfuad
Автор

Kama umecheki huu wimbo 2024 gonga likes hapa🔥🔥❤️❤️

AllyRamadhan-cwwe
Автор

Wana rockstar wako na sauti kuliko wasafi ukikubaliana na mm gonga like tukisonga

zekydiclassic
Автор

Hii NYIMBO ilivyokuwa Nzuri unaweza Kukopea Mkopo CRDB na Wakakuelewa bila Mzamini yoyote mamaeeeeh

zoazoatv
Автор

Team kiba tuache uvuvi kama unaitizama mpaka leo like zenu twende sawa

salmaothman
Автор

Kama unamuelewa bro KING of music east afrika like kama zote here

muniraahmed
Автор

+254 kenya muko wapi . naiangalia kutoka Qatar hii kali hatulazimishi gonga like twende sawa ndugu wabongo💪💪💪

gauchodepain
Автор

Kama umeingalia zaidi ya mara moja, .. GONGA LIKE HAPA

Stannypictures
Автор

Mwambie sina.... Ii nyimbo inanikumbusha mbali sanaaa...kingi

praxcedapasco
Автор

Kama umemuelewa#K2ga GOnga like hapa 🔥🔥

daisonseilas
Автор

Anae muombea Brother Ommy dimpoz apone haraka ajiunge na team yke agonge like yke hapa ili tuende sawa

komboomar
Автор

Kama ww ni Team mziki mzuri, . Gonga like twende sawa🔥🔥🔥

petermokami
Автор

kama gari nimpatie eeyy😘😘😘Alikiba sauti yako tamu Sana

judishmoraa
Автор

Kabl ya 24 hrs 1M anayekubaliana na mi gonga like 🔥🔥🔥🔥

OffcialKp