Dully Sykes Ft. Kusah - Do Do (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#DullySykes #DoDo #Kusah #SlideDigital

Dully Sykes Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Follow Dully Sykes on:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kenyans nipeni like hata 100 tu let's go 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

laoiyadi
Автор

Nice song.. Mfalme wa Bongo Fleva daima Dumu .. toka Julieta mpaka Leo bado unakomaa Wewe ni King .. salute kwako

millitarybattalion
Автор

Kenyans let's take this to a million views ⁉️⁉️ hii itaishi forever juu ni pure talent akuna ju act 😂😂✌🏿 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 to the world 🌍🌍

#cyco254

BollahLife_Earth_Adi_Heaven
Автор

Oyaaa dully mi sijawah kukuchoka toka nakua nasikia sauti yako naqbaliii usistaafu mzk bro bad unatishaa

stephaniemdope
Автор

Umetisha sana wimbo umeimba aisee uliye mshirikisha naye umepatia

ismailally
Автор

Ushaishiwa.utabakia kuiga nyimba za watu duli

hajiabdalla
Автор

Umeruhusiwa lakin, au ndo kesho inashushwa tena, , ngoma kali sana yani.

bennyngoye
Автор

Nimefuata vinanda vya Prince Dully Sykes 🔥🔥🔥🔥🔥💯

nelsonmwaipaja
Автор

mzee sauti uliyo nayo ni yakipekee duniya nzima mr dully ni kali

swahiliplaylistofficial
Автор

Angeimba nyimbo hiyo daimond angekula matusi mwanzo mwisho.

salehally
Автор

Kali sana, hujawai niangusha ever since bro

richardmainye
Автор

HATA UKAWA MSANII MKUBWA VIP USISAAU KUWA WAWEZA TOA NYIMBO MBOVU

beckermbagala
Автор

Wapelekee moto watoto wadogo paka waelewe

hassanayubu
Автор

dull we mkal ani bdo uko mpya kila sikuu unajua San xjawah kukuchokaaa kabxa

gejoboyofficialtz
Автор

Mkubwa wao mkali wa kazi umetisha sana #dullysykes ft #kusah

Heisgvoice
Автор

Huyu dully kama sio kiburi na kusahau mashabiki wake angekuwa hodari kwa hizi streets kama Konde Boy jina kubwa.unakula Bata unatusahau mashabiki zako ndani na inje ya tz

raviancitygeng
Автор

UMEBADILIKA SANA BROO KAMA KIZAZI CHA SASA DAH!🔥

chidythedj
Автор

The founder of Bongo Flavor is Back 🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀

lazalonzo
Автор

Dully haujawai koseaga ngoma ni unyama wa kushato an💣💣💣💣

lameckdingoo
Автор

😂😂😂NEW GENERATION, ety ndo dully wa kizaz kipyaa

mohamedathuman