Nandy feat Billnass - Totorimi (Visualiser)

preview_player
Показать описание
Music by Nandy featuring Billnass performing "Totorimi", is a captivating love song that takes listeners on a musical journey through the couple's relationship. The song's narrative begins with the excitement and passion of their initial romance, capturing the euphoria and intensity of their early days together. As the lyrics unfold, they reflect on the growth and deepening of their bond, celebrating the moments that strengthened their connection. The chorus highlights their commitment and enduring love, culminating in a heartfelt tribute to their journey from first sparks to a lasting marriage. The song blends Nandy's soulful vocals with Billnass's smooth delivery, creating a heartfelt anthem that resonates with anyone who cherishes the evolution of true love. Video directed by Chriss R7 & Audio produced by S2Kizzy.


Listen to Nandy on Digital Streaming:

Connect with Nandy on Social Media:

Connect with Billnass on Social Media:

+For More Information Booking Nandy

©2024 The African Princess.All rights reserved.

#Nandy #Billnass
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

NANDY FESTIVAL ILIANZA MWAKA GANI NA MKOA GANI

OfficialNandy
Автор

Tunaofurahi kuwaona wanandoa hawa tujuane❤na kama umeona Nenga kaua sana humu tujuane

magrethmalobola
Автор

Sauti nyororo lake Nandy😍nalipenda❤

Kama na wewe unalipenda sauti lake Nandy weka like kwenye comment 😉

calvados
Автор

Jinsi ambavyo mmeweza kupangilia mashairi ya historia yenu ya mahusiano.
Huba lenu lilisakamwa na vihoja vingi vya walimwengu ila mkachagua kuziba masikio na kufikia hatua njema ya ndoa.

Mandhari ya video hakika imezingatiwa vyema, ikiambatana na beat, sound zimetulia kinoma noma, mwisho mitupio ni unyama sana.

Na mpo kulisongesha huba lenu🥰 MY TOTORIMI💫

RuthMosha-dn
Автор

Mumenamke kwawingii❤❤kama unapenda this couple dondosha like❤❤❤

kichecheBurund
Автор

Kikubwa nilichojifunza ni kuwa, ktk dunia uciangalie watu watasema nn hvyo inakupasa upige moyo konde kwa mapito yote na pia nimependa sana the way mlivyovaa uhusika wa wimbo hakika mmeutendea haki! Mmetupasa hamasa wanandoa kumbe kufanya kitu kwa pamoja inawezekana cha msingi tujue kuwa muda wa kazi ni kazi hvyo imenijenga sanaa!! Na pia ukifanya kazi na mwenza wako kuna uhuru fulani unakuwa nao na ndo maana nyimbo imebamba sanaa!!Mungu awape kibali cha maisha ya ndoa milele by Monica

MonicaMbilinyi-up
Автор

Nyote mko sawa kila mtu aliimba kwa hisia zake Well done 🤲🤲🤲🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯🔥🔥

khamisimbogha
Автор

Hii couple itafika mbali sana sio kwa hayo mapenz mnayo oenesha kwa kila mtu anae wazunguka nimepnda sana mnavyo ishi na huyo mdada mungu awajaliee maisha marefu

maulidisimoni
Автор

Nimekubali sana hii I say.Tamu sana keep winning together. 254 in

trendz_
Автор

Huu wimbo wa mwaka big up 2024 number one song ✨✨billnass umeua na Nandy🔥🔥

JosephKimaro-ud
Автор

Kabisa leo mumenipa nguvu za kupambana jamaniiii pendashana my dear songa mbele penzi linoge🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

Emily-k
Автор

Naisikiliza hiii nyimbo machozi yananitoka😢 mapenzi ni matamu sana ukimpata wa kuendana nae mungu awabariki nandy na billnass mmejua kunifurahisha❤

ikramjackson
Автор

Oooooh jamn jamn kati yanyimbo zang bora mwaka huuu nahiii imo nipen sas like zang fasta

Ericksamweli-ttov
Автор

Kwanini Mna tupahofu kubwa wapenda naho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 sijuwi mna nihelewa🎉🎉🎉🎉🎉

AMURIAMBRIOFGOD
Автор

Mkondo umeuchukua, karibuni kuzaa mengi...piga hizi collabo mingi, next tupe from nigeria dada..nfurahia zako miziki

thegreatfamilyproductiont.
Автор

Amazing vocals, Great sounds & smooth rhythm.Love ❤ from Kenya. Masterpiece. 👏

WilsonOdongo-
Автор

nyumba kama nyumba🎉🎉🎉🎉chupa limeamka na chai❤

kekiplusandonly
Автор

Kitu nlichokipenda you guys mmechangamka mnafuraha, na billnass ashajimaliza tayar na mahabaa teleee mungu aendelee kuwasimamia Kwa kwel hakuna kinachoshindikanaaaa ❤🎉

JoyceKazimoto
Автор

Confidence ya memo na pia inaonyesha ni jinsi gan unamthamini memo your good boss lady I proud of you

inothkivuyo
Автор

Ii nayo ni Moto kama pasi.Mnafanya ni tamani kupenda mtu ya Titititi! Inabamba vinoma🔥🔥🔥

JosephAginga-hnhq