Nandy ft G nako, Joh Makini, Rosa Ree, Khaligraph Jones, Moni & Stamina - DAH Remix (Official Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Nandy featuring G nako, Joh Makini, Rosa Ree, Khaligraph Jones, Moni Centrozone & Stamina performing DAH! REMIX, (c) 2024 The African Princess Label, The music Video was shot in Dar es Salaam and Nairobi, Kenya.


Listen to Nandy on Digital Streaming:

Connect with Nandy on Social Media:

+For More Information Booking Nandy

©2024 The African Princess.All rights reserved.

#Nandy #DahRemix
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

TUPIA COMMENT YAKO UNIAMBIE NANI KALIFUNIKA HILI BEAT

OfficialNandy
Автор

KHALIGRAPH JONES HAS THE BEST VERSE HANDS DOWN🔥🔥🔥🔥🔥

RICHYHANIELTV
Автор

Wapi maua ya Khaligraph Jones, wakenya wenzangu.Bonyeza like hapo.

samueldzombo
Автор

Rosaree, Khaligraph na Stamina wapi likes zao🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

bettymyles
Автор

Hvi mmemskia g, nako alivofungua hlo beat kama og appreciate G.nako umetisha gonga like kama tupo pamoja...

Elisha_dee
Автор

Wapi likes ya OG. yeye akishika mic awezi disappoint.. Kenya hoyee🇰🇪🇰🇪

kiprotichkelvin
Автор

Jamniii wale wa rosaree na stamina mko wapiii full respect kwao😊

anithamsaki
Автор

Kama unampenda Rosa ree gonga like hapa ❤❤❤ ameua kwa hii mix…hichi ndo kipaji

rechalmoremi
Автор

Khali Jones ndo aliimba vizuri na nisijaribu kuambiwa kitu😅❤
Kenya 💪🇰🇪

Skoki_dramaqueen
Автор

Oya wanangu sama unamkumbali stamina tia like yako 🇨🇩

RAMSEYDJJJ
Автор

Khaligraph Na Stamina, Moni Wapi Likes Zao 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

jaekygraphy
Автор

Hii hapa kenya tumefunika 😅😅 big up OG nipe like za papa Jones kama unamkubali🔥🔥

erickakhenda
Автор

Mkenya mgani anaskiza during this madaraka, piga hiyo like

DavidKelvin-mzri
Автор

Khaligraph akona bonge la Verse, wapi likes wakenya 🎉✅

Godfry-duwq
Автор

Kama umemwelewa Rosa Ree gonga like twende sawa.

salumualoyce
Автор

I viewed this again sababu ya Khaligraph jones❤🎉wapi likes za OG

Mkadinally
Автор

Kuanzia style ya kuchana, kunata na biti hadi mashairi. Gnako killed it!

alluminiumexperttz.mview
Автор

This is a banger, , Kenyans let's gather here for our own Khaligraph Jones🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

dennoh_phennal
Автор

Napenda part ya Rosa Ree na Khali naiweka on repeat always.. Rosa Ree ameweza sana, Khaligraph OG carried the day his verse gives an international vibe🎉

Barohkenyah
Автор

Gnako Kama kawaida yake kwenye kolabo hua anatisha kama Jini
👇

fasterwalker