Dully Sykes - Baby Candy (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#DullySykes #BabyCandy #SlideDigital

Dully Sykes Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Follow Dully Sykes on:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kipindiiko mziki unathamani ata mtu mwenyehishmazake aliweza kusikiliza nahakugomba ddaah mziki nichombo chastarehe ilikua ila sio leo

SaydAli-iypi
Автор

Who's Tanzanian still listen this music on 2024 please geather here.

benedictozakaria
Автор

its 2024 and you searched for this song

hamisikandy
Автор

Still playing hit in Sept 2024, who else is there? Good message in it

antoinebakevya
Автор

Bado nasoma hii nyimbo boy friend wang alikua akiniimbia hii nyimbo du maisha yanaenda kasii sana@@❤

LeilaSpembo
Автор

You know you are grown when you can relate...love from 254

brunokk
Автор

My favourite singer all the time 2023 nakuangalia

simonhinda
Автор

I still get chills listening to this, I even called my gal back then Baby Candy. Still a banger. Love from Texas

adembeza
Автор

Among the best songs from Dully with brilliant advice to the school girls

wazirimwanazuoni
Автор

hii nyimbo na situation ya vitoto vya elfu mbili in match kabisa, kaka alioona mbali sana

Driveday
Автор

Dully with pancho latino dah noma sana hii kitu

PauloPhilipo-wj
Автор

This never get old.. it's 2024 and still vibing to this

EddieTricksVlogs
Автор

You have saved my girlfriend bro be blessed 2024 listening.

sirryhmes
Автор

Damn... Good old days... Kenya loved it

polishedbyfrank
Автор

R.I.P home boy Marehemu Pancho kazi nzuri sana ulifanya kwenye huu wimbo.

stanslausmteme
Автор

yaani zamani wasanii walikuwa na love za kutosha kwa msanii mwenzao ona video nyingi za zamani Walishowlove sana ktk vichupa vya wenzao

breymbasa
Автор

This was my favourite song till now from high school

NeilarChrome
Автор

2024 Niko hapa.
Always advice our younger girls do hurry for sexual relationship

marwa
Автор

Dull sykes is my favourite artist in East Africa. Them day's, he real hyped up the floor with this song ❤😅😅it was crazy and the hype was real 😂😂

juliusabubakar
Автор

Baby usilie

Mi najua wazo lako

Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)

Nenda shule kwanza

Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata

Usione nadharau

Hata mimi nakungoja baby Candy

Wala sijakusahau

Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie)

Umetoroka kwenu

Umenifuata home

Usiniponze Candy

Rudi kwenu Dom

Unataka tu-spend jigi, hug na rom

U-study mapenzi yatazidi ka ya dili ya niko

Kwa mwingine siendi

We ni zaidi ya utamu

Na ngoja ufike age

Mpaka moya msimamu

Itakuwa afadhali, rahisi kuja kwangu kwa room

Pia uache tabia zako za kutaka kunywa sumu

Nayafuta machozi

Acha kulia Candy

Nitakupa mapenzi

Utapokuwa na age

Takua upate umri wa ku-spend na mi

Usije ukanifungisha nikashangaza jamii

Baby usilie

Mi najua wazo lako

Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)

Nenda shule kwanza

Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata

Usione nadharau

Hata mimi nakungoja baby Candy

Wala sijakusahau

Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie)

Sio kwamba sikupendi

We bado mdogo sana

Sikia baby Candy

Mi nakupenda sana

Nangoja ukue kwanza

Twaweza kuoana

Nataka niwe wa kwanza

Kikombe kukivunja

Wacha kulia sana

Unanisononesha

Mi nakusihi sana

Pia nakukumbusha

Rudi shuleni soma

Kwani bado mapema

Usije pata homa

Kwa kuniwaza mama

Hata rafiki zangu

Watanitenga pia

Na itakuwa kashfa kwangu

Hata kwako pia dear

Nadhani umenisikia

Yote nilokwambia

Wacha kulia lia

Wacha kulia lia

Baby usilie

Mi najua wazo lako

Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)

Nenda shule kwanza

Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata

Usione nadharau

Hata mimi nakungoja baby Candy

Wala sijakusahau

Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie)

Baby Candy

Si kwamba sikupendi

Nangoja ukue, umalize shule

Tuta-spend, tuta-spend

Baby usilie

Mi najua wazo lako

Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)

Nenda shule kwanza

Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata

Usione nadharau

Hata mimi nakungoja baby Candy

Wala sijakusahau

Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie)

Baby usilie

Mi najua wazo lako

Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie)

Nenda shule kwanza

Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata

Usione nadharau

Hata mimi nakungoja baby Candy

Wala sijakusahau

Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie

DicksonJosiah-xbxo