Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)

preview_player
Показать описание
Music Video by Marioo performing (Hakuna Matata), is a love ballad song from one of the biggest acts in East & Central Africa, Marioo with his sensational voice and Lyrics. This is one of the biggest International love song sound to groove your mind and heart in exceptional ways.Sit back and enjoy, The Music Video was shot in Tanzania, Directed by Joma & Audio produced by S2kizzy.

Listen to Marioo on Digital Streaming:

Connect Marioo on Social Media:

+For More Information Booking Marioo:

©2024 Bad Nation.All rights reserved.

#Marioo #HakunaMatata
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jamani imeniua hi nyibo umeweza marioo wapi vigelegele kwa marioo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌹🌹🌹🌹🤣🤣🤣

mwanajumaalibindo-bfyi
Автор

Hakuna matata wimbo uko vizuri ndani ya tz na nje ya nchi

vhxwxgs
Автор

Kila kitu ni tata tata 🎉lisong nilizuri, biti ni hot mwimbaji ni 🔥 wahusikaaa wanavutia .. Paula lenyewee lizuri wai .. God bless you guy's

noelalubulilla
Автор

Am from Kenya but nmependa xna jinsi wasani mumeungana kufanya jambo lenu, ningetamani pia Kenya ifanyike siku moja it's all about positive vibes mambo ya chuki na fitna ni ushamba, mnastahili mauwa, inaashiria ukomavu kwenye muziki🎉🎉🎉

jeshi
Автор

Jamani naipenda sana hii Couple ya Marioo and Paula ❤ Toto Bad huku Congo 🇨🇩 Tunakupenda sana

RadjaboyKubita
Автор

The only bad thing about this song is that it's too short ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉receive your flowers from Kenya 🇰🇪 .come perform here this year

lolla
Автор

Kenyans lets gather here, give it 10 million views in the next few days.I cant get enough of this vibe.This song is my anthem every day I wake up.

mosesotieno
Автор

MARIOO'A TALENT IS GENERATIONAL.
WATANZANIA TUNAJIVUNIA🇹🇿🔥

lelomellowtz
Автор

Nimependa sana hapo kwa pascal Tokodi…his full vibes ❤❤❤❤❤

FaizahHuncho-vmdd
Автор

Ma chérie, akuna Matata, usinipande kichwani. Nawasalimu wa TZ wote. Je suis un 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 de père et mère nawapenda Sana

leonardkinsonto
Автор

Nani mwingine ameona pascal tokodi❤️much love from kenya

brillian
Автор

Umetisha Sana pande za Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿💯💯💯🔥🔥🔥🔥

NishaOsman
Автор

Huu wimbo hainitoki kichwani🥰....Much love Marioo..🇰🇪🇰🇪🇰🇪

PeteKopta
Автор

Wimbo mfupi yet video tamuuu 😍😍😍😍. Mario unajua nasema unajua!!!!

blackpanther
Автор

Mwamba Alisha zama kwenye kisima kirefu kya malavi davi Paula Alisha mupagawisha ❤❤❤ Ngoma kali my mwamba 💥 💥💥 never disappoint from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🎉🎉❤

DekelvaSoujaboy-mbps
Автор

❤inapedeza hongereni sana Ila Paula ubadili dino uolewe ipendeze zaid mwanamke ndoa ukamtumze vizuri marioo ❤❤❤

rosemsafiri
Автор

Jaman hii nyimbo marioo umewezq umeweza mpaka uneweza nawaombea tu mfike mbali yani msiachane

tumainmwambala
Автор

Nyimbo nzuli sana❤ Love from Burundi 🇧🇮

lovepounder
Автор

Marioo is a very underrated artist. Lots of love from Kenya ❤

audritta
Автор

American🇺🇸, Nigerians🇳🇬, South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼, kenyans🇰🇪, ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭, cameroonians🇨🇲, togonians🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem

Freddymedia-pd