RONALDO ARUHUSIWA KUISHI NA MPENZI WAKE KAMA MKE NA MUME, SHERIA ZA NDOA UARABUNI ZAPUUZWA?

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

tafuta hela sheria haipo kwa ajiri ya matajiri arafu acha kujieleza sana

Maulambo
Автор

Hongera Sana mwamba hodari wa football hakuna anaye kupata Kwa followers istagram mpaka kimpira

BONGOKUMENOGATV
Автор

Huyu mwamba anatrend kuliko Messi cr7 ni kipenzi Cha wanadamu

davidmbwilo
Автор

Huyo mwamba kaitangaza nchi kinoma watu wanaenda kutali ligi Ile kwasababu ya CR7 mwamba huyo

samwelipima
Автор

Maka walikaa makafiri mnashangaa nini kubwa tumuombee dua asilimu

asiakheir
Автор

Kiingereza cha nini kuchanganya mambo dada?🙄🙄🙄

TM.Sullusi
Автор

The World is changing now. People are looking for money.

shadrackmohamedi
Автор

Nchi ya maslahi, hakuna tofauti na nchi zingine duniani. Sheria ipo ili fursa ikitokea ivunjwe.

artanahm
Автор

Kwa hili ni aibu kubwa kwa Saudi Arabia. Imeshindwa kusimamia maagizo ya uislamu kwa tamaa ya pesa.
Hongera QATAR, kwa nguvu na uthabiti mmesimamia mnayoyaamini bila kuyumbishwa na yeyote!
Hakika, MUNGU kwanza!

BJMKANGALA
Автор

Mtangazaji unaboa kinoma, swaga nyiiingi kwenye habari muhimu. Kuwa mnyoofu kwenye kuelezea Jambo. Ila bado ni ugeni TU, natumaini kaka zako wakina Mwakyoma watakufunza polepole.

rehemamkalawa
Автор

Kwel ndoa ni majaaliwa ya Mungu..cr7 ana kila kitu na ashazaa watt 2 lkn ndoa Bado.!🤔

saidhamza
Автор

Saudia Arabia imekwisha, Marekani ameiweza. Mfalme wao ni kibaraka na choko kabisa.

akhykassim