Morocco: Ronaldo aripotiwa kuitoa hoteli yake ya Pestana CR7 kuwasaidia malazi wahanga wa tetemeko

preview_player
Показать описание

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunaposem Ronaldo n GOAT sio uwachan na makombe tu😢 Ronaldo anamoyo wa kipekee san c marayake ya kwanz kufany misaad kam hii

stephanomkumbwa
Автор

Ndomaana anawafuasi wengi zaidi Dunian mungu ampe maisha marefu zaidi Dunian na Akhera sit yake ipo peponi

fasterwalker
Автор

Wajifunze kuacha ubaguzi maana ujuwi atake kukusaidiya kesho🙌

fiston-asifiwe
Автор

Vzuri snaaa Mungu azidi kumsaidia🐐🇲🇿🇲🇿

baysadam
Автор

Wa Tz ndo tunatakiwa kujifunza kuhusu Biashara Sasa hasa ya Partnership
Cr7 anamiliki 50% na zingine zinamilikiwa na Pestana Group kwa Pamoja wanaingiza pesa ndefu, ila sisi huku #Diamond alipoingia ubia na Mrs Kusaga watu wanaanza maneno ety oohh Wasafi siyo ya Diamond ni ya mke wa Kusaga bila kujuwa Biashara ya Partnership!!! Elimu Elimu Elimu in Lowassa's voice 🎉

mfalmekaitaba
Автор

CR7 ni mtu mmoja poa sana.
No ugasho
No tattos
No mitungi
No mikogo

sonnyr
Автор

Ikusaishe tu mtagazaji cristiano anamiliki asilimia 60 kweny izo hotel

trendingfootshorts
Автор

Haya mambo ya urithi wa dunia ni kutafuta tu hatari, halafu kuna pale mji mkongwe zanzibar yaani pale napo wanapaona tu pako vile, kikitokea tetemeko ama kimbuka ule mji utakuwa swipe na maji wote halafu urithi wa dunia ubakie madongo

nureyna