Haya mapokezi ya Ronaldo ni kufuru,atoa siri hii ya klabu zilitaka asiende Al Nassr kwa mashabiki

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family kwa $1.49 (TZS 3474) kundi la SnS VIP 1 na $5.49 (TZS 12,802) kwa kundi la SnS VIP 2 kupata mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii kujiunga:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimefurahi the fact that cr7 wetu alionekana kapotea...mwenyezi mungu aendelee kukupandisha juu na juu zaidi na wote mnaopambanini ndoto zetu bila kusahau SNS We love you guys.

mzirairebeca
Автор

Ukubwa wa Ronaldo sio wakuchulia poa jamaa ni number moja tu halafu ana baraka zote kwa mwenyezi mungu na mashabiki tunasubir jezi tuzivae 🔥🔥🔥pull up king 👑 cr7

davidmbwilo
Автор

Cr7 🐐 na saiv kashapata mido fei toto bac atawachakaza kwa sana

mweusiasili
Автор

Aisee, , was amazing 😃😃😃😃nimependa sana vyenye walimpokea na kuongea he's really really humble, , nimecheka pale alipojaribu kuongea neno la kiarabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, , , anyway it's ajaab ajaab ❤️❤️

messaabbas
Автор

Huyu jamaa n hatar Sana....utadhan wamechukua ubingwa😂😂😂watu wana nyota zao

ibrahimsamson
Автор

Nyota ✨ hayijifishi bhanaa uwo dhambi ❤️❤️❤️❤️ uyu Cr 7 ananyota yk hata Messi hana

irakozesania
Автор

Hujashinda kilakitu huo niuongo!!! Messi (mbuzi) ndoameshinda kilakitu.

saidijuma
Автор

Hii Link ya kujiunga na kundi kwangu haifunguki

bigjizee