ONDOA UCHUNGU NDANI YA MOYO - JOEL NANAUKA

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wallah endelea tyu kutufarji kaka joeli mana nyoyo znatuvuja dam Allah atupe wepes tusjepata hata strock nnauchunguuu😭😭😭😭😭😭😭

jacklinedickson
Автор

Uchungu umeharibu maisha yangu nikajikuta nafanya Mambo bila kufikiria ikaua kila ndoto ndani yangu, Asante kwa SoMo zuri kaka

mariammaligwa
Автор

Jamani mm namaumivu mpk leo nilidhulumiwa kila kitu baba angu alichoniachia lkn maneno yako yananifariji nakuombea maisha marefu

rehemashayo
Автор

Asante sana Joel mungu azidi kukupa afya njema ya roho na mwili.

YunusMgunga
Автор

Uchungu wangu mumewangu anatembea rafiki yangu nimeumia cna

hawaamkubwa
Автор

Najivunia xana kuwa na mtanzania kama ww hakika utakikomboa hiki kizazi na vizazi vijavyo. MUNGU akubariki xana na akupe maisha marefu hapa duniani, Amen.

leonardsilago
Автор

Nakushukuru sana kaka joel mungu akulinde na akupe maisha malefu

bunutgw
Автор

Nimewahi kumpoteza ndugu yangu wa karibu kuzaliwa akitoka yeye nafuata Mimi kuzaliwa(kaka yangu), mwaka 2018 binafsi nilikuwa nampenda Sanaa lakini siku napokea taarifa ya kifo chake mpaka Leo hii uchungu nilionao unanitesa Siwezi kata kuenjoy maisha kwasababu nahamisha maumivu niliyonayo Kila sehemu iwe kwa marafiki, ndugu wengine😢😢 kupitia fundisho hili nimechilia na nimekubali naanza upya Leo Mungu wa Mbinguni anisaidie

rachelmwasomola
Автор

kila nnaposkiliza clips zako ukweli najifunza mengi sana nafarijika sana kila unachokiongea kinanigusa ktk maisha yangu nakushkuru kwa mafunzo na faraja unazotupatia

sharifakhamis
Автор

Uchungu unaharibu sana familia nyingi na unafanya watu kuishi kama watu wanaoishi pembezoni mwa mto Amazon
Mwishwe ukiwa na uchungu unajisikia kufakufa tu kwa sababu unajikuta huna thamani
Thanks bro

mwl.michaelsainethmlowe
Автор

Umenigusa na Mimi maisha yangu ni yauchungu tu

NadyaJuma
Автор

Ma Shaa Allah very good nitajifunza Asante

hamidaa
Автор

Nimezeeka sanaa kabla ya wakati wangu kwa uchungu nilionao ambao unasababishwa na watu wakaribu ninaoishi nao. Sina furaha ya maisha. Wananidhulumu furaha yangu

mwanakhamiskhamis
Автор

Sio rahisi Sana Joel, , , inahitaji kujitoa sadaka kamili, , pia itatupasa tujue our identities in spirit, , hapo ndipo uponyaji utapaikana vinginevo itakua Kama motivational tu kwasababu mazingira na maisha tuishiyo wengi yanasababisha uchungu uzidi kua mwingi zaidi, , , Asante Joel

juaupekeewako
Автор

Ahsantee nimefarjika sana na kuanzia Leo nasamehe

MariaShemvuni
Автор

Fundisho lako zuri Sana Mimi hio roho y uchungu imesumbua sana nilifikili n roho y rejection lkn umenisaidia nitawasamehe wote

JedidaNdutuu-yslx
Автор

Asante kaka joeli mm ni muathirika wa kuhifadhi uchungu na inanipelekea kutoishi vizuri na watu hata wengine wanahihukumu kua nawachukia lakini hapana ni moyo wangu umebeba mambo manzito nalia na mungu aniondolee hii hali inanichosha

joyceamos
Автор

😓😓😓hii imeniingia Sana😓😓 nitajitahd niachie tu, , mungu nitetee na uniongoze kwenye hili🙏

mwanaidimsemo
Автор

Ahsante Emma wangu Kwa kunielekeza kaka huyu moyo wangu uliraruka sikuona njia, nimeumizwa now sitolia Tena, be blessed kaka joel

wardaabdallah
Автор

Wow! @joelnanauka kiroho zaidi. Asante sana ndugu.

isikesamike
join shbcf.ru