TAMKA MANENO HAYA KATIKA MAOMBI YAKO MUNGU ATAKUSIKIA

preview_player
Показать описание
Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Habakuki 2:14
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
+255 758 708 804

Instagram Account

SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu naomba umusaidie baba yangu 😢Mungu tetea maisha ya mzizi wangu anahangaishwa na ulimwengu mupiganie baba in the name of jesus christ amen

LodrigueIrakoze
Автор

Mungu naomba univushe kwenye hili jaribu lililopo mbele yangu🙏

NeemaMdumaa-upvd
Автор

Amina mtumishi niombee rohoo ya chuma ulete, na kuokoa nyumba yangu kwenye mikono ya bank

BeriGosti
Автор

Nimefiwa na mtoto nimefiwa na baba mtoto nimefiwa na bibi ake mama mkwe tarehe 6/11/2023 Nimefiwa Tena na mchumba alie taka kunioa niliona dunia imenilemaa nilijiona nina mkosi kwenye haya maisha Ila nilivyo kutana na maombi yako yamenipa nguvu kubwa mno🙏

EasterRichard-dl
Автор

Ee mwenyezi Mungu simama na mimi kwa nyakati hizi ngum😭😭😭 naomba unisamehe mungu wangu pale nilipo kosea pokea maombi yangu nahitaji mkono wako bwana napitia magum sana wakati huu usniache Mungu wangu nipiganine simama na mimi bwana niokoe mwanao nisizame

marialukumbi
Автор

Naomba mungu anisaidie mawasiliano na Mimi na mzazi mwenzangu yameharibika naomba uniongoze katka maombi

SophiaMfinanga-ez
Автор

amina nimeuona mkono wa bwana ukinisaidia

jenimartias
Автор

Ameeen nafarijika sana na maombi yako ni msaada mkubwa sana kwangu niko nje ya Tanzania lakini Nguvu ya Mungu haina mpaka ubarikiwe sana Mtumishi

nyakatongongo
Автор

Ee mungu nitetee Kwa haya magumu yaliyoko mbele yangu

BEATRICEJOSEPHAT-uw
Автор

Mungu wangu komboa familia yangu amina pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi

theonestinakaizilege
Автор

Emungu nena nawanano nami pigana nawapiganao nami kwakuwa mamraka niyako amina

hamisichande
Автор

Napitia magumu Sana, ewe mungu baba naomba unisaidie😢

JattaJuma
Автор

Mungu wangu rejesha mume wangu maali wamemufungiya amekutatanana na mchawi amefunga nafsi yake Mungu wangu mufungule maalipo alipo

OdetteMacumu
Автор

Amen man of God, be blessed, je eti saa tisa usiku pia ni masaa manzuri ya kuomba coz mbingu zimefunguka(wakati Yesu alikataa roho)

fennyWekesa
Автор

Ameen mtumishi wa Mungu, asante kwa kunifungulia maombi haya ameen

annamichael-vl
Автор

Naamini kwa jina la mungu yote ninayo pitia yataisha na wanao nizarau watanisalimia kwa heshima namuomba mungu aniongoze katika safari yangu ameni

GressGress-fdxl
Автор

Asante mungu kwani umenipa faraja baada ya kuhisi baridi sasa nahisi joto baada ya kutoka machozi naona yamepotea nahisi nimepata njia ya hitaji langu

zuhurashayo
Автор

Amen mtumishi kabla hujamaliza maombi tu nimeona nimepona thence god

JuumaJamal
Автор

E mungu nipe moyo wa chuma kwenye kipindi hiki kigum ninacho kipitia simama mbele ya rango ra familiy yangu utuomndolee roho ya mauti

MerryJackson-lk
Автор

Wlewe mungu baba naomba uniponye unirudishe kwetu salama kwadam yayesu krulistu

KamiyattiNamusisi