ROSE MUHANDO - YESU KARIBU KWANGU (OFFICIAL VIDEO) *811* 282# Sms 'SKIZA 7634400' TO 811

preview_player
Показать описание
#RoseMuhando #YesuKaribuKwangu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asanteni wapenzi watanzamaji, Mwenyezi Mungu awabariki pakubwa.. Naomba tuendelee kusubscribe...

rosemuhandoofficial
Автор

Hii imenifanya kuwa na amani nilipata ajali mwezi Sept 22 nilikuwa sikai wala sisimami nimelalia mgongo miezi mitano huu wimbo ulikuwa wangu watu walisema sitapona tena huwa nalia tu nikiusikiliza huu wimbo mpaka leo hii natembea kwa tabu natumia magongo, Mungu zidi kunitendea wala sina rafiki wote wamenikimbia, Njoo yesu kwangu usiniache kila pumzi yangu wewe ni faraja kubwa kwangu na si Mwanadamu, wote waliniacha ulisema upo nami, Ahsante Yesu

herbethanchama
Автор

Who else is still here in 2024...this song is a powerful cry for Jesus to intervene in our situations and circumstances ❤

michaelmbui
Автор

Those who are listening this in 2024 😢😢lets gather her

tonniestonny
Автор

Nmeskiza huu wimbo siku nzima nmelia machozi yangu yote. Yesu nakuhitaji. 😭😭😭

wilfridanafula
Автор

Asante Mpenzi Rose Muhando kwa wimbo huu ambao umenirudisha miaka 12 nilifukuzwa kwa nyumba usiku, nikaenda nikitaka niondoe maisha yangu lakini sauti ndani yangu iliniambia sitakufa, nikamwita Yesu, nikaamuuliza aje na sasa Amenirejesha.... Furaha ninayo....amani ninayo.... watoto ambao niliwachwa nao wamekua wasichana warembo.... Ndio Ukimwita YESU Adui hana nafasi kwa maisha yako.... Rose Muhando Bwana atatenda makuu juu ya maisha yako... Nashukuru Mungu kwa kujibu maombi yangu na familia yangu juu

VickyKitongaMusic
Автор

No makeup, no expensive cars nor beautiful houses, no expensive clothes, .... Just an honest, simple gospel song that mentions Jesus from the beginning to the end... It moves emotions... No singer could have done it better... Rose you are one among many, and you exceed them all

GraduationLive
Автор

YESU ASIFIWE WAPENDWA . Hakika Mungu yupo. Wapi likes za machine of Gospel

saramudasia
Автор

Mungu wangu uko wapi nakuita yesu 🙏 napitia magumu katika maishani mwangu naomba karibu kwangu unifunike na damu yako juu siwec pekee yangu yesu, , , , nimepitia mengi na bado mimi mchanga yesu😢😢😢😢😢😢😢😢😢

joykokomusicjkmusic
Автор

Am here again in 2023 and I just feel like this song is ministering to many souls up to now. Jesus is the only Friend. Yesu karibu kwangu tena na tena.

theadentofamily
Автор

She is back like nothing happened uzuri wakumtumikia mungu anaye ishii 😍😍😍😍😍😍😍Mungu Ni mwema Rose mhando my sister

choffuri
Автор

😭😭😭😭😭😭Mungu anajua Yote yale Mama Rose umepitia.

StephenKasolo
Автор

Umebarikiwa na huna uchoyo, unanibariki pia, nyimbo zako ni injili tosha. Usijali watu wanasema nini. kaza mwendo.

richardsalu
Автор

Akii mum 😢😢😭mungu amesikia kilio chako na sasa maadui zako watabaki vinywa vyao wazi, niwakati wako mama wakung'aa tenaa na kubarikiwa zaidi na zaidi, mamaa we love you so much🇰🇪😘😘🙏😢barikiwa mum

simonmdune
Автор

Kenyans let's show her some love... Tunakupenda Sana rose...

fratashafranc
Автор

Yesu fariji yeyote atakaye soma hii na anapitia magumu, maisha yake ikawe na furaha na Amani tena, Mungu wapanguze machozi, na tena twashukuru Kwa mama Rose muhando, ibariki huduma yake, mlinde na waovu azidi kukutumikia milele, Amina.

bahatibahaty
Автор

Bwana Yesu asifiwe wapendwa Kila mtu ana ushuhuda Ya Yale mapito tunapitia ya mateso wapendwa tupambane katika safari ya wokovu Mungu atutie nguvu

NmNm-ng
Автор

If you can't hold back your tears like Rose because of the trials you have triumphed.. Gonga like😊

josephinendanu
Автор

When God choses you, no man on earth can bring you down. This is a true testimony 😭😭 Mungu atasimama na wewe daima🙏

marianaKeis
Автор

O my God. Kenyans where are people. Let's join Rose muhando. Feeling blessed in Qatar

shiladeironlady