Yanga SC 3-2 Azam FC - Highlights | NBC Premier League - 23/10/2023

preview_player
Показать описание
Stephane Aziz Ki amefunga #hattrick na kuipa Yanga ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

magoli ya Aziz Ki yamefungwa dakika ya 9', 69', 72' huku Azam wakipata magoli yao kupitia kwa Gibrill Sillah 19' na Prince Dube dakika ya 62 kwa penati.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Viva Yanga Viva let's go Ubingwa msimu Huu Ni lazimaaa 💪🔥💥💚💛⚽👊🤚🖐🏿

PanchoValentino-whwt
Автор

Jaman nilienjoy sana hiyo siku maana haw azam wanatukera sna❤❤❤

restutaphulugency-fezw
Автор

Jomba hii mpaka iishe kwanza ninnoma sana🎉🎉🎉

zekelly_
Автор

💛💛💚💚🔰🔰😂😂😂 nacheka kwa sababu nina furaha sana yanga hiii raha sana💚💚💛💛🔰🇹🇿

ntakakasendebayi
Автор

Yanga yakibabe sana
Huyu jamaa alotambulishwa usiku wa saa 6 mwamba wa wagadugu ni nomaaa

JonausN.Mwandosya
Автор

Ila Azam mnaroho mbaya Kila mechi ya yanga Huwa mnachelewesha

wardah-mbkb
Автор

kama Aziz atacheza kwa kiwango hikihiki kwenye derby tutawanyonyoa makolo

cleverymwakamala
Автор

Azam mnatuangusha likija swala la highlights

rajabrwambow
Автор

Kama mwanayanga naomba mechiya Leo katiya yanga na singida kibwana aaz

AklamKasumali
Автор

Hii ndio ilikuwa yanga nayo ijua sio hii aiseee

MaarufuAmani-bqqc
Автор

We need you in naturenaaaa man😂✌️✌️✌️✌️❤❤

GeorgeMkhonta
Автор

Hapa azizi alikua anatafuta kupandishiwa mkataba

samwelipima
Автор

Nani anarudia kuichek hii game saii kama mimi😂😂

baltazarmrema
Автор

Azam fanyieni kazi quality ya picha za highlight hazionekani vzur

febroniamsoma
Автор

Nakuunga mkono kwa hilo aise mamnyeto uwezo wa kukaba ama kuzuwia Bado sana asianze kiukweli atatuchomesha🎉

Emanuely-zm
Автор

Mungu asimame Kati tu dhidi ya Ali ahal

sadalaedward
Автор

Sauti ya baraka MPENJA inauwa humna mtu anayeweza kama baraka mpenja

shabbirbharmal