HUZUNI JAPHET WA ZABRON SINGERS AKIIMBA WIMBO WA MAOMBOLEZO MSIBA WA MARCO AMWAGA MACHOZI'UNAMPANGO'

preview_player
Показать описание
Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!

We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!

#entertainment #news #music #funny
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu awatie nguvu wapendwa. Siyo rahisi kukubali yatupasa kumshukuru mungu kwa hilo

JaneMkinga
Автор

Kaka Japhet Mungu aendelee kukupa faraja kubwa sana ndugu yangu, najua ni namna gani una umia katika hili.

EdsonGorochon
Автор

Mungu awafariji nyote… Mike wake na watoto na jamii yote kwa ujumla. 🇰🇪

mugesiabrigitte
Автор

Poleni sana Zabron
Mungu azidi kuwatia nguvu!

margaretnyamwilahila
Автор

Mtangazani nyamaza tusikilize live tafadhali😢 unaongea sana jamani

israelkisaila
Автор

Mungu atatufaliji wote katika yeye atutiaye nguvu

AbinelAjali
Автор

pole sana kaka japhet najuwa namna ganiunavyoumia pole sana😂😂😂😂

Joharirashidi-lx
Автор

Polen mungu awatie nguv katik kipind hiki kigumu

HOJAMANUALI
Автор

Be strong Japhet for your brother absence 😢🙏🏻🙏🏻

flora
Автор

Jaman wapendwa polen sana mungu awape nguvu na akawe mfariji mkuu katika kipind chote hiki kigumu

deogratiusGodfrey
Автор

Poleni sana zabron singers Mungu awape nguvu

salukimola
Автор

Poleni sana mungu watie nguvu katika kipindi hiki chamapito.

KallaEshton-lr
Автор

Mungu awatie nguvu wapendwa naamini hata hili litapita mtasimama Tena tunawapenda sana

MagrethMassawe-ovns
Автор

Poleni sana Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigimu

kwjdhxo
Автор

Polen mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu sana

PaulinaSengo
Автор

Mungu awatie nguvu ktk kipindi Hiki kigumu Zabron singers

sabinakushoka
Автор

Poleni Sana my Condolences may the lord Confort you in Jesus name very painful indeed

joycenyamwaka
Автор

Marco wasingemzika kesho ili tuomboleze vyakutosha😢😢😢

limymasele
Автор

MWENYEZI MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU WANA ZABRON SINGERS

agneswangui
Автор

INAUMA SANA POLENI SANA MUNGU AWATIE NGUVU

anithawidambe