WATOTO wa MARCO wa ZABRON SINGERS WAKIUSHUHUDIA MWILI wa BABA YAO - KUFIWA na BABA KUNAUMA!

preview_player
Показать описание
WATOTO wa MARCO wa ZABRON SINGERS WAKIUSHUHUDIA MWILI wa BABA YAO - KUFIWA na BABA KUNAUMA!

Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV

============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)

⚫️ OUR PLAYLISTS:

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu, bariki uzao wake wasikose chochote walichostahili kwa sababu ya kutokuwepo kwa mtumishi wako🙏🏿

infortainment
Автор

Mungu wangu watoto hawajui bado hawaelewi MUNGU TUNAOMBA ULINZI WAKO KATIKA FAMILIA HII😭😭😭😭😭

juliethamtega
Автор

Inauma sana, kwani mungu kampenda sana marco mungu ametwaa bwana ametwaa jinalake lihimidiwe milele amen

EdigarKibwana
Автор

Pole ni sana ndungu zetu tume umiya sote 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

peterdavidkazi-ym
Автор

😢😢😢kifo kinauma sana kifo n uchungu sana😢😢😢mwimbaji wetu lala salama natuma rambi rambi zangu kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

Lidya-ei
Автор

Na mungu haiweke roho yake Marco Mahali pema peponi🙏😭😭😭😭😭🖐️🖐️

BonyMatah
Автор

Poleni sana kwa familia na waimbaji kwa jumla. Go well champion.From Kenya

PaulineKaroki-xocw
Автор

Mungu watienguvu watoto wako hawawezi pekee yao.poleni sanaa😢😢😢😢

ThelesiaMbwana
Автор

I can't even believe this it's hurting me much may the Almighty God keep you at a safe place so that we can meet in heaven may you soul rest in eternal peace 😭😭😭😭😭😭

beatriceemmanuel
Автор

Rest in peace 🙏 bro mimi kama mkenya nyimbo zako zinanibariki 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

MilaKavwai
Автор

Kiukweli nimeumia sana!!! 😢😢😢, , Ila mhh nimejikuta najiuliza namda ulipatikanaje wa kutunga wimbo au ulikuwepo tangu mda?? 😢😢😢😢 Ah au bas

FaustinaFlorian
Автор

Mungu amlaze mahali pema marco
Nmelia sana jamani😭😭

Daicytoorop
Автор

Jmn nimelia mno watoto wa marehem bado warimhtji mno baba Yao jmn kifo hiki😭😭😭

SelinahMinson
Автор

Nimelia Hadi kichwa kinauma jamani kifo hakizoeleki Mungu awasimamie jamani 😢😢😢😢😢😢

mbwamboruth
Автор

Mungu awatie nguvu watoto wake ni pigo kubwa sana 😢😢

FaithEmmanuel-hn
Автор

Rip Marco since l received the news of your Demise l have been crying 😭😭😭😭😭l really love your songs Aki . they r even my ringtone....wakenya tutakumic😢😢

EdnaKituyi
Автор

Mungu wangu nimaumivu makali sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

MunezeroParfait-hxch
Автор

Polen sana mungu awafariji nyote yauma san 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

furahamangi
Автор

Duuuuh!! Mungu amlaze mahali pema pepon 😭😭

ChristowajaYesse-bb
Автор

Too painful even to bear 😢😢😢 but all in all God is in control 😢😢😢To the family members and entirely zabron singers take heart .. ❤😢😢

HarrietAdhiambo-yqyk