HUZUNI!WIMBO KUHUSU KIFO ALIOIMBA MTOTO WA MAREHEMU MARCO JOSEPH WA ZABRON SINGERS

preview_player
Показать описание
HUZUNI!KIPANDE CHA WIMBO MTOTO WA MAREHEMU MARCO JOSEPH WA ZABRON SINGERS
#breaking #gospel #hakuna #healing #lango #live #muujiza #rev #spiritual #ujumbe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

POLE SANA MTOTO WA KAKAETU ZABRON, MUNGU AKUTIE NGUVU KATIKA MAKUZI YAKO YOTE PAMOJA NA WADOGOZAKO NA MAMAENU AWE NA NGUVU ZAIDI YA ROHOMTAKATIFU, AMINA

TillionsMon
Автор

Mungu aponye mioyo yenu mtoto mzuri, ahsante Mungu kwa maisha ya Marco duniani!!!

anselmokidaboma
Автор

😢😢 kifo Cha huyu kaka jamani kimeniliza

MeresianaKadushi
Автор

Inauma sana mtu alikua mzima kweli baadae karudi nyumba akiwa amekufa poleni sana familia, mungu awatie nguvu 🙏😭

JacklineAkinyi-gs
Автор

Poleni sana, mmi pia nimekua na huzini sana, tangu kuona hii kifo, na hizo nyimbo zake, nko kenya

ChristineKesi-kr
Автор

May the Lord God continue to uphold you great son, your siblings and mum

annekamau
Автор

Mungu awape Faraja. Yeye Marco kalala.

sarahkadugu
Автор

Mungu awatie nguvu, ametangulia kwenda kuwaandalia makao alipo yeye nanyinyi muwepo, Amina

VictoriaSalvatory
Автор

Mungu WA rehema Arie nguvu na awape faraja.ya kweli.🙏

NiceSilayo-zmsk
Автор

baby Mungu yuko na nanyi siku zote na Mungu alipenda baba zaidi ya sisi sote duniani, wacha asafiri salama makao ya milele.

ashantidesire
Автор

😢Acha nikae kimya mungu sema neno waja wako Tupone

LeahMkwabi
Автор

Nimesikiliza hadi nimelia kabisa. Pole sana na family yako no wayout tumuombe tu mungu

zachariamajigwa
Автор

Yesu tusaidie sjui kwann uyu kaka kaniuma moyo iv, ,,,eemungu wape faraja

mamasia
Автор

I know God will provide, take care of your children in your Mighty name 🙏🙏🙏

Roseokongo
Автор

Pole sana mtoto mungu akupe uvumilivu na your mother

Nyabuto-kjqf
Автор

Mungu akupe nguvu wewe na family's yako

BettyMkika
Автор

Mungu asimame nawe pamoja na mama yako ndungu zako🙏🙏🙏

AmAm-xtog