MTOTO ANTONY AMALIZA DARASA LA SABA APATA 'A' MASOMO YOTE, ALIMSHTAKI BABA YAKE KAGERA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hizi ndizo taarifa ambazo jamii inahitaji kusikia na kupata siyo media inawapa muda wanawake wanaojiuza inasikitisha sana
Hongera sana Millard Ayo

stevenobure
Автор

Mr Msuya Mungu akubariki sana na Ayo Tv ndiyo maana huwa tunasema Ayo Tv ni bora kuliko wote.

annamwakibinga
Автор

Masha Allah amekuwa nafurahi saana kumuona jameni nipeni likes Burundi Tanzania sisi ni ndugu kabisa

nzeyimanasadiki
Автор

Mungu akuzidishie xana baba Aizack, , nimetoa machoz ya furaha kumbe duniani kuna watu wema, ,

HusnaHassan-mp
Автор

Baba uliye mchukua antony Mungu azidi kukuzidishia mahali unpo toa paongezeke mara mia

yorandayorandan
Автор

Wow! Namkumbuka huyu mtoto tangu alipokuwa yupo mdogo!❤ Mungu azidi kumbariki Sanaaa...Azidi kupata mafanikio!🙏🏻

SatwantHoogan
Автор

Jamani mpaka nalia 😢😢😢😢😢Mungu amlinde na hasadi aje kua mtetezi wa wengine

fatmahraseid
Автор

Mpaka nimesisimka, nimekupenda pia mtangazaji n mfazili ila watangazaji mmekuwa chachu y shida z watu kuonekana❤❤❤❤

AminaMfinanga-nujl
Автор

Mr. Msuya Mungu akubariki sana wewe na kizazi chako kwa mfano huu.

EmanuelIbrahimu
Автор

KENYA LOVES ANTONY AND WE ARE PROUD OF YOU AS YOU SPEAK GOOD ENGLISH LIKE US ...WELCOME TO KENYA, WE LOVE YOU...Hongera Kaka yetu and we wish you all the best in your future endeavours.YOU STORY IS INSPIRING HAVE BEEN FOLLOWING YOU SINCE FROM THE BEGINNING...

PatrickMwathi-jbjb
Автор

Hongera Anthony nimefurahi kukuona milady ahsante kutuonyesha Anthony Mungu akubariki sanaa mtoto mzuri❤❤❤

HalimaMayunga
Автор

Cjui niseme nini jamani nina machozi ya furaha😢, yaaani wewe baba msuya kila lililo gumu kwako mungu akafanye wepesi, umefanya jambo kubwa ambalo halielezeki pokea ushind na zaidi ya kushinda, Mungu azidi kukutunza na roho yako ya huruma baba, mtangazaji pia kazi yako ibarikiwe zaidi na zaidi sk zote ameeeeni❤❤

JanethMsongolo
Автор

Hongr sana Anthony nimekufuatilia sana toka mwanzo mpk umefika drs la saba
Hongera sana kwa kupata A zote 6
Mungu akuwezeshe ufikie ndoto zako
Zaidi naomba Serikali ikuwezeshe ukasome kwenye shule za vipaji maalumu

EstherJerald-tcct
Автор

I can't believe kwa kweli, , yaani nimeiona Miujiza yako Mungu kupitia Mtoto Antony🙏❤️Baba Msuya Utabarikiwa Milele Duniani na Mbinguni🙏💙

agnesswai
Автор

The secrets of living is giving. Kudos to Isack Msuya🙏🏽

AIInvestmentXpert
Автор

Hii ndo sadaka yakweli mungu akubariki sana

magabemkami
Автор

Hii ndo kazi ya wandishi kama Milad online tv good Job Cause ulimtambulisha akatoboa na Dogo Anazidi kutambulika Hongerini Sana Mlio nyuma yake Kumsaidia Athony.

massvpro
Автор

Izack Msuya Mungu akuzidishie Sana kwa roho yako nzuri umeifanya Dunia ionekane mahali pazuri, , Mungu aubariki uzao wako ukastawi sana katika Dunia hii

awezayekyando
Автор

We baba mungu wa mbinguni akuongezee ulipotoa mungu baba akutunze kwa wema uliomfayia Antony kwani ni Wachache sana wenye roho kama yako baba angu

annamashauri
Автор

Hongera Anthony. Hongera mtangazaji. Hongera mfadhili. Hongera walimu wote kwa kazi yenu nzuri. Mungu awatetee zaidi

sophiacharles