WANAUME WALIVYOSHINDANA KUBEBA WATOTO MGONGONI, MSHINDI AZAWADIWA

preview_player
Показать описание
Hivi ndivyo Wanaume wa Manispaa ya Mtwara Mikindani walivyoshindana kubeba Watoto huku Mshindi wa kwanza aliyembeba Mtoto vizuri na kwa haraka akizawadiwa Pesa Taslimu, ni kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake. #MalkiawaNguvu2021
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Daah kuna dingi wa kwanza kafunga miguu mgongoni, sio mtoto😂😂😂😂😂😂😂

NyegaNyegatrainer
Автор

Wallah nimecheka sana, hapana chezea wanawake wewe,

halimajamaniamekuwamndeme
Автор

Hii nimeipenda sana usawa kwenye kulea

kabwelasutiviraka
Автор

Huyo mtoto aliyevaa skirt ya pink ana baba hewa😂😂

damariszuckschwert
Автор

Huyo mshindi Wala hakubeba vzr mtoto mmetudanganya kitenge hajakifunga vzr

neemanziku
Автор

😁😁😁😁😁🤣🤣 mnazani mchezo waeshimuni wanawake unabeba mtoto na kazi zingine unafanya

gracejohn
Автор

Jamani hadi laha kwa kweli nimefurahi 😁😁😁

jamilaezekiel
Автор

😂😂😂😂😂kha huyo mwenye jezi ya cmba kafunga mtoto mguuu

mayroseclemence
Автор

Hivi mababu zetu wa zamani waliishije? Na sisi tupoje saizi.

accr
Автор

Nimecheka uyo wamwisho yeye kamfunga miguu ningekua mm ningewafunika wote hao

zalhayahya
Автор

Yule mngine kafunga miguu yamtoto nyoo alifikiria nikazi rahisi ehe

asiamkwama
Автор

Mpeni zawadi yake HAPO hapo hakuna baadae 🤣🤣

vero
Автор

Wanaume wa mtwara wakina harmonize ndo tabia zao😂😂😂😂

omaryjuma
Автор

Huu ujinga siamini kama in Tanzania unafanyika

charlesmwisera