MTOTO WA HAMISA MOBETO ALAMBA SHAVU CLUB YA JUVENTUS KUPITIA ACADEMY YAO

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Keep winning Hamisa, yajayo yanafurahisha, Mwenyezi Mungu akutangulie wewe na familia yako.

linashayo
Автор

Mungu ampe kila lenye kheri mtoto huyo.Tunamuombea, hongera sana.

marthashimba
Автор

Hongera sana Kwa mama mzazi super women mobeto❤

yasintamsuya
Автор

Congrants god did, it's our time to appreciate even us because we can't move alone but we suppose to have one or more than one who guide u, congrants Hamissamobetto for what you did since day one until now your child growing up with higher execution god be with you in every moment of life. Allahumma Ameen🙏🏿🙏🏿🙏🏿

Siteformen
Автор

I don't know what say big up hundsam boy big love ❤ from Jordan

munam
Автор

Baada ya miaka 6 ijayo tutamjua baba halisi wa mtoto wa Tanzania tukae kwa kutuliza to, ongera kwake ❤

barakamotta
Автор

Hongera sana. Safari ianze. Mungu amlinde.

vanessastafford
Автор

Congratulatio🎉🎉🎉 mungu amtupi mja wake, pia amuongze mama na mtoto insha'Allah ❤

AaAa-tfsl
Автор

Mungu ampe kila heri dylan mungu ni mwema sana

annajohn
Автор

Safi sana Hamisa wa jina wa Mama yangu

salimamoshi
Автор

Safi hamisa achana na hao wanaojisikia kuhusu mtoto wako

salmamlokela
Автор

Kila la hello kijana mwema asiekua namakuu mungu akuinue inshallah🎉🎉🎉

HolloJuma
Автор

Watoto waliokataliwa wana baraka mungu akuzaje mtoto mzuri dylan❤❤❤❤

Tatty-up
Автор

Hongra sana mungu akutangulie popote mtoto wa hamisa

lishuhamisi-gezm
Автор

TURIA safi kabisa hivi mlisema huyu sio mtoto wa diamond sio 😂😂

KidoBanks
Автор

Miguu ya huyu mtoto kama vile huwa haina nguvu sijui ni macho yng ila ndo ivoo

rosepaul