AKAMATWA KWA KUTAKA KUUZA WATOTO WAKE MAALBINO|BIASHARA YA VIUONGO YAREJEA MSUMBIJI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

😭😭😭😭binadamu tumekuwa bora ht wanyama yn pesa ni bora kuliko roho ya mtu 😭😭😭

ruqaiamohammed
Автор

Jamani mbona sisi bina damu tumegeuka mashetani kuliko hata wanyama maana mnyama anaweza kukuhurumia asikularuwe 😭😭😭

edinahlyanga
Автор

Msumbiji Mungu anawaona!
Majanga yote kwenu!
Bado hatujamaliza Ukataji wa vidole' tunaingia Uuzaji wa Albino!
Mnauzaje Binadamu wenzenu?

margrethrhobi