Tazama: Meli ya kivita ya Thailand ilivyozama

preview_player
Показать описание
Tazama namna meli ya kivita ya Thailand HTMS Sukhothai iliyokuwa na wafanyakazi zaidi ya 100 kupinduka na kuzama wakati wa dhoruba katika Ghuba ya Thailand.

HTMS Sukhothai ilikuwa kwenye doria mashariki mwa Bang Saphan katika mkoa wa Prachuap Khiri Khan, ilipokumbwa na dhoruba hiyo Disemba 18.

#bbcswahili #haliyahewa #thailand
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I Like Creating Things 🎬

BUT No Cap, WHO ELSE IN BED WATCHING THIS VIDEO 🥳 📺

softlips