Uzoefu wa Daktari - Namna Rahisi ya Kutibu kwa 100% Upungufu wa Nguvu za Kiume

preview_player
Показать описание
Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa kwamba ukuteseke kwa muda mrefu. Kuna mambo machache tu kama ukibadilisha urijali utarudi kwa asilimia mia tena bila jasho kubwa.
**************

SOCIAL MEDIA

ILANI/ DISCLAIMER:
Mafundisho na maelekezo katika chanel hii ni kwa ajili ya taarifa tu na hivyo yasitumike kama mbadala wa ushauri au tiba za kitaalam.

****
The content on this channel is provided for general information only and should not be relied upon as a substitute for any professional medical advice or treatment.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ubarikiwe sana doc kwa maelezo mazuri kabisa

solomonmassangya
Автор

Asante docta Kwa ushauri wako wa kitaalamu, kutibu kichwa ni vigumu Sana nguvu za kiume zinaweza kupatikana Kwa Yule uliekuwa nae kama atakufurahisha na kukutuliza mke na mume ni sawa na betry ina positive na negative mara nyingi mke anachangiya kufanya ujihisi mgonjwa ndiyo maana wakawepo vimada

mohamedsaid
Автор

We jamaa umenisaidia sana Asante sanaa

jamalymkupa
Автор

Asantee. D, CTR Mimi tangu nimepunguza kilo na. Tumbo. Na kunywa uji. Asubuhi na chakula hai na shukuru Sana dctr nimepunguza vizuri na Nina meza kituunguu. Saumuu. Kama dawaa asantee dctr ubarikiwe

khadejakhadeja
Автор

Asante Dr kwa ushauri kwa aliyekusikiliza I hope atafaidika

engsalvatoryyambi
Автор

Asante kaka sasa kama mtu amevunjika mguu anataka apone haraka atumienini nisaidie

haseanatnsanya
Автор

Dr hongera kwanza kwa elim ya bule ila ulipo sema unatakiwa kunjwa chai ya kitungu hujatufungua kuja kitungu Gani swaum au kitunguu maji hebu tuweke sawa hapo na Asante kwa Elim

omarmahewa
Автор

Na ukishazima Ile kengele inayokushtua kwamba Mwili wako umepungukiwa na kitu, kiongeze, ww hauongezi vilivyopungua, Bali unaizima kengele Kwa VIAGRA na MIKONGO, basi tatizo halitaisha Bali litaendelea kukua Tena KIMYAKIMYA, si umezima kengele ya tahadhari mwenyewe...!

ismailmasoud
Автор

Sorry dk tatizo la ukienda haja kubwa jinsi unavyo push mzigo utoke na huku mbele kwenye uume shahawa zinatoka ni tatizo naomba unijibu kwa msaada wangu

njoroboihustla
Автор

Dct ubarikiwe sana daa kumbe inatakiwa utulie tu

abrahmansalim
Автор

naomba doc kama waweza kuweka video spesheli kuhusu chai hizi ndio tuelewe vizuri. Asante kwa kazi inzuri.

patrickkanywa
Автор

doctor napend kujua nikitungu kipi nacho takiwa kukitumia katika chai

WASUKUMA
Автор

Doctor samaan mimi nasumbuliwa na maumivu kwenye korodan yaan mishida midogo midogo inauma na maumivu yanapanda kadi pembeni na tumbo naomba msaada plz 😢

newmanmbise
Автор

Na vipi kuhusi iyo chai itatiwa tena sukari au kavukavu??

mohammedjosephus
Автор

Asante kwa Somo, , , Dr. Me nahitaji kile kitabu chako, , , nikipga cm hupokei ata WhatsApp hujibu text, , , plz nisaidie

stephanmtafya
Автор

Hiyo ilani ifafanue vizuri maana take nini

jeranibanzi
Автор

Dokta mm nasema asante mungu antakulipa

simoncosmas