filmov
tv
Jinsi ya kutunza vifaranga vya Broiler siku 1-14
Показать описание
1. Hakikisha banda (brooding area) imepashwa joto la kutosha saa 1 kabla vifaranga hawajafikishwa site/ shamba.
2. Andaa vyombo vya maji na chakula siku 1 kabla; Viwe safi na vikavu.
- Weka kwenye maji lita 10 glucose ya vifaranga 100g na Keprocerl kijiko kimoja cha chakula Mara 1 kwa siku.
- Wape vifaranga chakula starter kizuri kwa siku 14 - Mimi natumia vyakula vya kampuni ya Hill.
3. Kuwa karibu na vifaranga ili uangalie ulaji na unywaji maji wao. Kama kuna ambao wanazubaa wasogeze karibu na maji ya kunywa, chakula na joto na utaona wanachangamka.
4. Uwiano wa vyombo vya maji na chakula kwa idadi ya vifaranga wako. Inashauriwa drinkers au feeders iwe minimum of 3:100 chicks. Ratio inaweza kupanda na sio kushuka.
5. Siku ya 7 wape chanjo ya Newcastle kwa masaa 2 kisha iondoe. Hii unachanganya kwa idadi ya vifaranga kama ambavyo utashauriwa na mtaalam. Baada ya chanjo unaweza kuwapatia stress vita
6. Siku ya 8-13 wape vitamins- Mimi huwa natumia Amintotal na kukiwa na udhaifu wowote naichanganya na DCP kuimarisha mifupa yao.
7. Siku ya 14 ni chanjo ya Gumboro na utaratibu ni kama No. 5
8. Zingatia usafi usafi usafi usafi usafi....... muhimu sana
NB: Mimi sio daktari wa mifugo maelezo ninayotoa ni uzoefu wangu tu katika kazi hii.

Комментарии